Close Menu

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    NAFASI Za Kazi Geita Gold Mine (GGM)

    November 16, 2025

    NAFASI za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania 2025

    November 16, 2025

    Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) November 2025

    November 16, 2025
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Makala
    • Michezo
    • Usaili
    • Kuitwa Kazini
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kisiwa24
    Home » Mabasi Dar Kwenda Mbeya
    Kampuza za Mabasi na Nauli zake

    Mabasi Dar Kwenda Mbeya

    Kisiwa24By Kisiwa24August 29, 2024Updated:December 19, 2024No Comments4 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Mabasi Dar Kwenda Mbeya
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Mabasi Dar Kwenda Mbeya

    Tangazo

    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

    Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

    BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

    BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP CHANNEL YETU

    Mabasi Dar Kwenda Mbeya

    Habari ya wakati huu mpenzi mfuatiliaji wa blog yako pendwa ya Habarika24, Kwenye makala hii tutaenda kuelezea juu ya makampuni ya mabasi yanatota huduma zake kutoka mkoa wa Dar es Salaam kwenda mkoa wa Mbeya. Njia ya Dar to Mbeya imekua na wasafiri wengi sana hata kufanya kuwepo kwa ongezeko kubwa sana la makampuni ya ,abasi yanayotoa huduma ya uafirishaji kati ya mikoa hiyo miwili. Kuna zaidi ya makampuni ya mabasi 20 ambayo yanasafirisha abiria kila siku kutoka Dar kwenda Mbeya na Mbeya kwenda Dar.

    Njia za Usafiri Kati ya Dar es Salaam na Mbeya

    Mkoa wa Dar es Salaam na Mbeya inaunganishwa na njia tatu za usafiri, njia hizo ni pamoja na

    1. Usafiri wa Gari
    2. Usafiri wa Treni
    3. Usafiri wa Ndege

    Katika makala haya tutaenda elezea njia ya gari hasa upande wa mabasi.

    Mabasi Dar Kwenda Mbeya

    Hapa chini tumekuwekea baadhi ya makampuni ya mabasi yanayofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya kila siku na kutoka Mbeya Kwenda Dar es Salaam

    1. Abood Bus

    Abood ni moj ya makampuni makubwa sa ya usafirishaji kwa njia ya mabasi. Inatoa huduma ya usafirishaji katika mikoa mingi hata nchini Tanzia na Mbeya ni mojawapo ya mikoa ambayo Abood Bus zinatoa huduma yake. Kampuni hii inatoa huduma bora na za uhakika bila kuchosha abiria wake. Ina mabasi yenye hadhi ya juu kumfanya mteja wake kufurahia safari yake.

    Abood Bus
    Abood Bus
    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

    2. Nganga Express

    Kampuni ya nganaga Express ni kampuni kongwe kwenye utoaji wa huduma ya usafirishajin wa abiria kati ya mkoa wa Dar es salaam na Mbeya. Mabasi ya kampuni hii ni daraja la kati na dalaja la chini lakini ni mabasi yeneye uhakika wa safari. Kama wewe ni mtu wa daraja la kati na chini Nganga Express ndio chaguo lako bora kwa usafiri wa uhakika.

    Nganga Express
    Nganga Express
    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

     

    3. Happy Nation

    Happy Nation, Kampuni bora miongoni mwa kampuni za usafiri kwa njia ya mabasi, Kama uko Dar au Mbeya na unataka kusafiri ndani ya mikoa hii miwili basi kwa usafiri wa kifahari na wenye usalama basi Happy Nation ni miongoni mwa makampuni bora zaidi ambayo unaweza kuweka kwenye chaguo lako la kwanza. Ukiachana na Abood Bus kwenye ubora wa huduma pia Happy Nation ni kampuni inayotoa huduma bora kwa wasafiri wake.

    Happy Nation
    Happy Nation
    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

    4. Princes Muro

    Kwenye  usafari wa Dar to Mbeya Princes Moro ni moja miongono mwa kampuni zilizo bora sana. Mabasi haya hufanya usafirishaji wa abiria na mizigo kwa usalama zidi. Kampuni hii inamabasi ya aina mbili dalaja laja la kwanza na dalaja la kati. Hivyo Princess Muro inaweza kua miongoni mwa machaguzi yako ya awali kwa usafiri salama kati ya Dar na Mbeya.

    Princes Muro
    Princes Muro
    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

    5. Mbeya express

    Mbeya Express Ni kampuni ya mabasi yenye makazi yake Jijini Mbeya. Hii ni miongoni mwa kampuni zinazotoa huduma za kusafirisha mizigo na abiria. Kama wewe ni abiria pia Mbeya express ni chaguo sahihi kwa wewe kulitumia katika safari yako.

    Mbeya express
    Mbeya express
    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

    6. New Force BUS

    New Force basi ni kampuni iliyokuja kufanya mapinduzi ya usafirishaji abiria kwa njia ya mabasi. Kampuni hii inatoa pia huduma ya usafirishaji wa abiria kati ya Dar es Salaam kwenda Mbeya au Mbeya kwenda Dar es Salaam. Ni kampuni yenye kutoa huduma za uhakika na zenye usalama zaidi. Kwa usafiri wa uhakika na haraka zaidi.

    New Force BUS
    New Force BUS
    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

    7. Dar Luxy

    Kwenye  kampuni nzuri na salama za usafiri wa mabasi kutoka Dar kwenda Mbeya Dar Luxy ni miongoni mwa kampuni nzuri zenye mabasi mazuri na yenye kutoa huduma nzuri kabisa. Kama unataka kusafiri kutoka Dar Kwenda Mbeya Basi Dar Luxy ni sehemu ya chaguzi zako za usafiri.

    Dar Luxy
    Dar Luxy
    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

    Makampuni mengine ya mabasi yanayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar kwenda Mbeya ni kama,Budget Coach, Ndenjela bus, Saibaba Express, Upendo Travellers, TSK Bus, Taqwa , Alsaedy high class, Alliance, JM Safari, Ottawa, Al hushoom , Hai Express na Sumry High Class.

    Machaguo ya Mhariri;

    1. Kampuni Za Mabasi Ya Dar To Morogoro | Mabasi ya Morogoro

    2. Mshahara wa Rais wa Tanzania

    3. Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake

    4. Mshahara wa jaji Tanzania

    5. Majukumu ya Jaji Mkuu wa Tanzania

    6. Jinsi Ya Kuangalia Salio La NSSF Kwa Njia ya Simu

    7. Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Kisiwa24
    • Website

    Related Posts

    Kampuni Bora za Mabasi Kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora

    September 17, 2025

    Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha

    August 5, 2025

    Nauli ya Basi Dar to Morogoro

    May 9, 2025
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    November 14, 2025944 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

    July 12, 2025874 Views

    PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026

    September 30, 2025696 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Covid-19 Statistics

    [rb_covid countries_code=’CN’ countries_label=’China’ columns=1]

    Most Popular

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    November 14, 2025944 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

    July 12, 2025874 Views

    PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026

    September 30, 2025696 Views
    Our Picks

    NAFASI Za Kazi Geita Gold Mine (GGM)

    November 16, 2025

    NAFASI za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania 2025

    November 16, 2025

    Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) November 2025

    November 16, 2025

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2025 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.