KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo16 September 2025

KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo16 September 2025

KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo16 September 2025

Leo Yanga Sc inaenda kuikabiri klabu ya Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwa msimu mpya wa mwaka 2025.

Mchezo huu utachezwa leo Jumanne ya tarehe 16 September 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Kuanzia majira ya saa 11:00 za jioni.

Kuelekea mchezo huu blog yako pendwa ya kimichezo ya Fursa24 itakuletea kikosi Yanga kitakachoenda kucheza dhidi ya klabu ya Simba kwenye mchezzo huo wa Ngao ya Jamii 2025.

KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo16 September 2025

Kikosi rasmi kinatarajiwa kutangazwa lisaa limoja kabla ya kuanza kwa mchezo nasi mara tu baada ya kikosi kuwekwa wazi tutakuletea hapa.

Hivyo usiache kutembelea mara kwa mara kurasa hii ili kuweza kutazama kikosi hicho

Hapa chini ni kikosi kipya cha wachezaji wa Yanga Sc kwa msimu wa 2025/2026 ambacho miongoni mwake ndipo kitakapo undwa kikosi kitakacho cheza na Simba Sc.

BONYEZA HAPA KUTAZAMA KIKOSI RASMI

error: Content is protected !!