KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 16 September 2025
Leo Simba Sc inaenda kuikabiri klabu ya Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwa msimu mpya wa mwaka 2025.
Mchezo huu utachezwa leo Jumanne ya tarehe 16 September 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Kuelekea mchezo huu blog yako pendwa ya kimichezo ya Fursa24 itakuletea kikosi kitakachoenda kucheza dhidi ya klabu ya Yanga kwenye mchezzo huo wa Ngao ya Jamii 2025.
KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 16 September 2025
Kikosi rasmi kinatarajiwa kutangazwa lisaa limoja kabla ya kuanza kwa mchezo nasi mara tu baada ya kikosi kuwekwa wazi tutakuletea hapa.
Hivyo usiache kutembelea mara kwa mara kurasa hii ili kuweza kutazama kikosi hicho
Hapa chini ni kikosi kipya cha wachezaji wa Simba Sc kwa msimu wa 2025/2026 ambacho miongoni mwake ndipo kitakapo undwa kikosi kitakacho cheza na Yanga Sc.
BONYEZA HAPA KUTAZAMA KIKOSI RASMI
Leave a Reply