CV ya Fahad Aziz Bayo Mchezaji Mpya wa Yanga Sc,Usajili wa Fahidi Bayo Yanga, Klabu ya Yanga iko mwinshoni kuweza kumsajili mshambuliaji wa taifa la Uganga Fahad Bayo kam mchezaji huru baada ya kumalizika kwa mkataba wake na timu aliyokua akiitumikia.
CV ya Fahad Aziz Bayo Mchezaji Mpya wa Yanga Sc
Fahad Bayo tayari amesha wasili nchini Tanzania kwa majilibio chini ya kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic ili kuona kama anaweza kuchukua nafasi ya Jean Baleke amabye muda wowote anataweza kuondo klabuni hapo.
katika makala hii tutaenda kuangazia kwa ufupi juu ya Cv ya Fahad Bayo kama mchezaji mpya wa timu ya Yanga. kama wewe ni shabi wa kweli wa Yanga basi utakua na shahuku ya kuweza kumfahamu kiundani Fahad Bayo.
Taarifa Binafsi
Jina; Fahidi Azizi Bayo
Kuzaliwa ; 10 Mai 1998
Umri; 26
Utaifa: Mganda
Kimo; futi 6 na nchi 1
Nafasi Uwanjani; Mshambuliaji
Maisha yake kwenye Soka
Hapa tutaenda kuangali miongoni mwa timu alizowahi kuzichezea kabla ya kuijunga na klabu ya Yanga SC
- MFK Vyskov (Czech),
- FC Ashdod (Israel),
- Bnei Sakhnin (Israel),
- Buildcon FC (Zambia),
- Vipers (Uganda)
- Proline (Uganda).
Fahad anakuja kujiunga na klabu ya Yanga kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kukamilika na klabu ya MFK Vyskov (Czech), akiwa na klabu ya MFK Vyskov (Czech) Bayo ameweza kucheza jumla ya michezo 42, katika mivchezo 42 aliyo cheza ameweza kufunga magoli 4 na kutoa assist moja.
Lakini pia Bayo ameweza kuitumikia timu yake ya Taifa kwa michezo 21, katika michezo hiyo ameweza kufunga mabao 8 na kutoa assist ya bao moja, pia ameweza kushiriki kuchezea vilabu mbalimbali barani ulaya.
Wewe kama sabiki wa Yanga yapi maoni yako juu ya usajili wa Fahad Azizi Bayo kutokana na CV yake hapo juu, embu acha maoni yako kupitia sehemu ya kommenti.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. TETESI za Usajili Yanga SC 2024/2025
2. Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC