Usaili
Matokeo ya Usaili wa Mahojiano TRA May 2025

Dar es Salaam, 27 Mei, 2025 Itakumbukwa kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza nafasi za kazi 1,596 mwanzoni mwa Februari 2025, ambapo ilipokea maombi 135,027, ambayo 113,023 yaliitwa kwenye usaili wa maandishi baada ya kufikia vigezo, na usaili huo ulifanyika tarehe 29 na 30 Machi, 2025. Waombi waliofaulu katika usaili wa maandishi waliitwa kwenye […]
Majina Walioitwa Kwe Usaili Utumishi 19 May 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Tume ya Ushindani (FCC), Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Chuo cha Maji (WI), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa […]
Mpangilio Wa Vituo Na Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo Kada Ya Dereva Daraja La II May 2025

Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wa kada ya Dereva II wanapaswa kuzingatia vituo na tarehe ya kuafanya usaili kama ilivyoainishwa kwenye viambatisho hapo chini. DEREVA II-KITUO BUZA DSM DEREVA II-KITUO KIHONDA MOROGORO
MATOKEO Ya Usaili Wa Kuandika Utumishi 17 May 2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. Ajira hizi ni za mkataba. MATOKEA YA USAILI WA KUANDIKA WAKALA WA VIPIMO MCHANGANUO WA USAILI WA VITENDO DEREVA WAKALA WA VIPIMO
Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo MUST May 2025

Makamu Mkuu wa Chuo kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 22-05-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye […]
MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs May 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-05-2025 hadi 28-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa […]
Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Utumishi 11 May 2025

Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 11/05/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II (HEALTH) RADIOGRAPHIC TECHNICIAN II MPISHI DARAJA LA PILI II (COOK II) LAUNDERER II
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo cha Sukari cha Taifa (NSI) May 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Sukari cha Taifa (NSI), MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-05-2025 hadi 30-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- Usaili […]
Motokeo ya Usaili wa Vitendo Utumishi Uliofanyika 03 Mei 2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. Ili kutazama matokeo hayo bonyeza kwenye kila linki hapo chini
WALIOITWA Kwenye Interview Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

WALIOITWA Kwenye Interview Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025 BOFYA HAPA KUPATA MAJINA YA USAILI ZIMAMOTO NA UOKOAJI Majina Waliotakiwa Kuajiriwa Usaili wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji – Majina ya walioitwa Usaili 2025. Kuitwa kwenye usaili wa kazi katika Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji cha ZIMAMOTO, ni fursa nzuri ya kujiunga na shirika muhimu […]