Usaili
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wila ya Kalambo

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi ya Msaidizi wa Kumbukumbu kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 27.06.2025 hadi tarehe 28.06.2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye […]
MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 06 June 2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 06 June 2025 Ili kuweza kusoma matokeo ya usaili huu wa vitendo tafadhari bonyeza linki hapo chini; ICT OFFICER II (PROGRAMMER) – NACTVET
Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Manispaa Ya Moshi June 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-06-2025 hadi 26-06-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili […]
PDF: MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 05 June 2025

KWA NAFASI ZA KAZI UTUMISHI BONYEZA HAPA Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 05 June 2025 TRANSCRIBER II – SIGN LANGUAGES INTERPRETER TECHNICIAN II (MARITIME TRANSPORT- COMPUTER SCIENCE) TECHNICIAN II (MARINE […]
PDF za Matokeo ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI June 2025

MATANGAZO YA AJIRA MPYA UTUMISHI,AJIRA PORTAL NA KAMPUNI BONYEZA HAPA Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. PDF za Matokeo ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI June 2025 ARTISAN II (FITTER AND TURNER) TECHNICIAN II (MECHATRONICS TECHNICIAN). TECHNICIAN II (MECHANICAL) […]
MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 04/06/2025

MATANGAZO YA AJIRA MPYA UTUMISHI,AJIRA PORTAL NA KAMPUNI BONYEZA HAPA Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 04/06/2025 Ili kuweza kutazama majina bonyeza kwenye kada husika uliyofanyia usaili hapo chini; ARTISAN II […]
PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali Leo UTUMISHI

Sekretarieti ya Ajira Tanzania ni chombo chini ya Wizara ya Kazi kinachoshughulikia na kuweka mipango ya masuala yanayohusiana na ajira nchini. Sekretarieti hii ina jukumu kuu la kuunda na kutekeleza sera za ajira, kusimamia mifumo ya habari ya ajira, na kukuza uwekezaji katika ujuzi wa wafanyikazi ili kuongeza fursa za ajira zenye tija. Inafanya kazi […]
MABADILIKO ya Ratiba Ya Usaili Kada Ya Transcriber II Sign Languages Interpreter 04 June 2025

Wasailiwa wote wa kada ya Transcriber II Sign Language Interpreter mnataarifa kuwa kutakuwa na usaili wa vitendo utakaofanyika tarehe 05 Juni,2025 na usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 06 Juni,2025. MABADILIKO ya Ratiba Ya Usaili Kada Ya Transcriber II Sign Languages Interpreter 04 June 2025 MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KADA YA TRANSCRIBER II SIGN LANGUAGES INTERPRETER
MABADILIKO ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo Dereva Daraja La II 04 June 2025

Kwa madereva waliopangiwa kufanya usaili wa vitendo tarehe 7 Juni,2025 mnajulishwa kuwa usaili huo utafanyika tarehe 08 Juni,2025 katika vituo mlivyopangiwa awali. MABADILIKO ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo Dereva Daraja La II 04 June 2025 MABADILIKO TAREHE YA USAILI DEREVA II
Mabadiliko Ya Tarehe Za Usaili UTUMISHI 03 June 2025

Mabadiliko Ya Tarehe Za Usaili Kwa Kada Za Tehama Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT), NACTVET NA DIT Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi kwa kada zilizoainishwa kwenye tangazo hili kuwa, kuna mabadiliko ya tarehe za usaili wa vitendo na mahojiano. Usaili wa vitendo na mahojiano utafanyika kwa tarehe […]