Usaili
Walioitwa Kazini Serikalini, UTUMISHI Call for Work July 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati taasisi mbalimblai kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya […]
PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi Leo 2025

MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI Utumishi Leo 2025, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi na Ajira Portal 2025, Walioitwa kwenye Usaili Utumishi, majina walioitwa usaili ajira portal. Karibu katika ukrasa huu wenye PDF za majina ya walioitwa kwenye usaili Utumishi leo, wiki hii na mezi huu. Hapa utaweza kupata updates za majina kila siku waliotwa […]
MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 15 June 2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 15 June 2025 Ili kuweza kusoma matokeo haya tafdhari bonyeza linki hapo chini OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II – OSHA
NAFASI Za Kazi Mwananchi Communications Limited

Mwananchi Communications Limited ni kampuni ya uchapishaji na utangazaji nchini Tanzania inayojulikana kwa kutoa habari sahihi na ya kuvutia kwa umma. Kampuni hiyo ina madarasa mbalimbali ya vyombo vya habari, ikiwa ni pamoja na gazeti la Mwananchi, gazeti la The Citizen, na mitandao ya redio kama vile Mwananchi Radio na Clouds FM. Kupitia vyombo hivi, […]
PDF: MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 14 June 2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 14 June 2025 Ili kuweza kutizama matokeo haya ya usaili tafadhali bonyeza kwenye kila linki ya Kada hapo chini; TUTOR II – PROCUREMENT […]
MAMBO ya Kuzingatia Unapoitwa Kwenye Usaili Ajira Portal

Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa wa ajira, kupata mwaliko wa usaili kutoka Ajira Portal ni hatua muhimu sana kuelekea ajira unayoitamani. Hata hivyo, hatua hii ni mwanzo tu—kufanikisha usaili kunahitaji maandalizi ya kina, uelewa wa mazingira ya usaili na namna ya kujitambulisha kwa weledi. Katika makala hii, tutakuongoza kupitia mambo muhimu ya kuzingatia […]
MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 11 June 2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 11/06/2025 Ili kusoma maotokeo tafadhari bonyeza kwenye kila linki hapo chini; ARTISAN II (MECHANICAL PLANT OPERATOR II – NIRC
MABADILIKO Eneo La Usaili Wa Mahojiano Afisa Utalii Dar es Salaam

Waombaji kazi wa kada Afisa Utalii Daraja la II (Tourism Officer II) waliopangwa kufanya usaili wa mahojiano katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Dar es salaam kuwa, sasa usaili huo utafanyika katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo jengo la Utumishi Kivukoni Dar es salaam tarehe 12 Juni,2025. MABADILIKO […]
PDF: MATOKEO Ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 08 June 2025

Waombaji kazi wa kada zilizotajwa kwenye tangazo hili mnajulishwa kuwa usaili wa mahojiano utafanyika kwenye ofisi za Sekretarieti ya Ajira (PSRS) Dar es salaam. MATOKEO Ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 08 June 2025 Ili kutizama matokeo tafadhari bonyeza kwenye kila PDF file hapo chini TECHNICIAN II (LABORATORY) RESEARCH ASSISTANT (FOOD CHEMISTRY) RESEARCH ASSISTANT – […]
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wila ya Kiteto

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe {{27-06-2025 hadi tarehe 28-06-2025}} na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na […]