Tecno Phone
Tecno Spark Go 1S – Bei na Sifa Kamili
Tecno Spark Go 1S – Bei na Sifa Kamili Tecno imeendelea kutoa simu janja za bei nafuu na Spark Go 1S ni toleo jipya la mwaka 2025. Hebu tuchambue kwa undani sifa zake muhimu. Tarehe ya Uzinduzi na Upatikanaji Tecno Spark Go 1S ilizinduliwa Januari 6, 2025, na inapatikana sokoni. Simu hii inakuja na Android […]










