Ajira
MASWALI ya Usaili wa Mahojiano Ajirai za UTUMISHI (New Update) 2026
Orodha ya Maswali ya Oral Interview Utumishi, Katika safari ya kutafuta kazi katika utumishi wa umma, mahojiano ya mdomo (oral interview) ni hatua muhimu sana. Ni fursa ya kuonesha ujuzi wako, uzoefu, na umuhimu wako kwa nafasi unayoomba. Ili kukusaidia kujiandaa vizuri, tumekuandalia orodha ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara katika mahojiano ya aina hii. […]
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi Leo March 2026
Majina Mapya ya Walioitwa Kazini 2026 – Utumishi na Ajira Portal, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetoa orodha ya majina ya watu walioitwa kazini kwa mwaka 2026 kupitia mfumo rasmi wa ajira. Hati hii muhimu ipo katika muundo wa PDF na inapatikana kupitia tovuti ya PSRS kwa waombaji wote waliowahi kuwasilisha maombi […]
PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026
MAJINA YA walioitwaKWENYE USAILI Utumishi Leo 2026, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi na Ajira Portal 2026, Walioitwa kwenye Usaili Utumishi, majina walioitwa usaili ajira portal. Karibu katika ukrasa huu wenye PDF za majina ya walioitwa kwenye usaili Utumishi leo, wiki hii na mezi huu. Hapa utaweza kupata updates za majina kila siku waliotwa kwenye […]
NAFASI za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania 2026
Vodacom Tanzania ni kiongozi katika sekta ya mawasiliano ya kielektroniki nchini Tanzania. Kampuni hii imekuwa nyumbani kwa Watanzania kwa miaka mingi, ikiwa na mtandao mkubwa na wa kina unaofikia maeneo mbalimbali nchini, hata yale yaliyopo mbali na mijini. Kupitia huduma zake kuu za simu, intaneti, na pesa za mkono (M-Pesa), Vodacom imebadilisha njia Watanzania wanavyowasiliana, […]
Nafasi za Kazi Kutoka Geita Gold Mining Ltd (GGM) 2026
Geita Gold Mining Ltd (GGL) ni moja kati ya migodi mikuu na yenye uzalishaji mkubwa zaidi wa dhahabu nchini Tanzania. Mgodi huo unazolishwa na kampuni ya Anglogold Ashanti, moja ya makampuni makuu duniani katika uchimbaji wa dhahabu, na uko katika Mkoa wa Geita. GGL imekuwa nyenzo muhimu katika uchumi wa Tanzania kwa kushiriki kikamilifu katika […]
NAFASI za Kazi Kutoka Ajira Portal Leo 2026
Nafasi Mpya za Kazi Ajira Portal, Utumishi na Serikalini 2026, Nafasi za Kazi Utumishi, nafasi za kazi Ajira Portal, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo,wiki hii na mwezi huu kutoka serikalini, Utumishi na Ajira portal, Habari kama wewe ni miongoni mwa wanaotafuta kazi kutoka serikalini basi makala hii itaangazia nafasi mpya za kazi zinazotangazwa na serikali […]
NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania
World Vision Tanzania ni shirika la kibinadamu lisilo la kiserikali linalofanya kazi nchini Tanzania kwa lengo la kuboresha maisha ya watoto, familia na jamii zilizo katika mazingira magumu. Shirika hili linaendesha shughuli zake kwa kushirikiana na serikali, wadau wa maendeleo na jamii zenyewe ili kushughulikia changamoto kama vile umaskini, njaa, ukosefu wa elimu bora, huduma […]
NAFASI Za Kazi Standard Bank Group
Standard Bank Group ni mojawapo ya makundi makubwa na yenye ushawishi mkubwa wa kifedha barani Afrika. Ilianzishwa mwaka 1862 nchini Afrika Kusini na imekua kwa kasi hadi kuwa taasisi ya kimataifa inayotoa huduma mbalimbali za kifedha, ikiwemo benki za rejareja, benki za biashara, uwekezaji, na huduma za kifedha kwa makampuni makubwa. Kupitia mtandao wake mpana […]
NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
Equity Bank Tanzania ni benki inayojulikana kwa kutoa huduma za kifedha zitumikazo kwa wateja wake kwa ufanisi na uaminifu. Benki hii, ambayo ni sehemu ya Equity Group Holdings kutoka Kenya, imekuwa ikijenga uaminifu wa wateja kupitia mfumo wa huduma zinazofaa kwa wadau mbalimbali, ikiwemo wafanyikazi, wakulima, wafanyabiashara, na wakazi wa mjini na vijijini. Equity Bank […]










