Michezo
TFF ya Kana Kudaiwa na Yanga Tsh Milioni 200

Baada ya tarifa zilizoweza kutolewa na mwana habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe mbele ya vyombo vya habari kua wanaidai TFF na wazamini wakuu wa kombe la shirikisho (CRDB Federation Cup) kiasi cha shiling Milioni 200 za zaawadi za mshindi wa michuano hiyo kwa msimu wa 2023/2024, TFF imetoa taarifa za kukanusha madai hayo. […]
RATIBA ya NBC Premier League 18 June 2025

Ikiwa ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaelekea kumalizika kwa kusailia kwa mechi mbili kwa kila timu ukiacha ile ya Derby ya Kariakoo ambayo imepangwa kufanyika tarehe 15 June 2025. Hapa kisiwa24 tunakuletea michezo ya NBC Premier League tarehe 18 June 2025. RATIBA ya NBC Premier League 18 June 2025 KenGold vs Simba Sc 10:00 […]
Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025

Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025, Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025 ,Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025, Wafalme wa Pasi za Mwisho ligi kuu ya NBC Tanzania 2024/2025, Orodha ya Watoa Pasi za Mwisho Ligi Kuu Tanzania 2024/2025, Ligi kuu ya NBC Tanzania msimu wa 2024/2025 tayari imesha […]
Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025

Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025, Magolikipa mwenye clean Sheets Nyingi ligi kuu ya NBC 2024/2025, Habari karibu kwenye makla fupi ya kimichezo itakayoenda kukupa mwenyendo wa Magolikipa vinara wenye clean sheets zaidi NBC Premier League msimu wa 2024/2025. Claen Sheets Inamaana Gani Clean Sheet kwenye ulimwengu wa soka inachukuliwa kua ni hari […]
Msimamo wa Ligi ya NBC Premier League 2024/2025

Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025, Ligi Kuu ya NBC ni moja ya ligi bora zaidi barani Afrika na huvutia mashabiki wengi kutoka ndani na nje ya Tanzania. Katika msimu wa 2024/2025, ligi hii imeendelea kuwa na ushindani mkubwa kati ya timu zinazoshiriki, huku timu kubwa kama Simba SC, Young Africans, na Azam […]
RATIBA ya Mechi Za Simba Sc June 2025 NBC

Ikiwa zimebaki mechi tatu tu ili iligi ya NBC Tanzania bara iweze kukuamilika hapa kiswa24 tunakuletea ratiba ya wekundu wa msimbazi Simba Sc kwa mwezi June. Michezo hii ninmichezo ya mwisho kuelekea kumalizika kwa ligi kuu ya NBC Tanzia bara. Michezo ya kumaliza ligi itafanyika tarehe 22 June 2025 Ratiba ya Simba Sc June 2025 […]
Singida Yaifuta Yanga Fainali ya CRDB Confederation Cup

Klabu ya Singida Black Stars imefanikiwa kuweza kufudhu kwenda hatua ya fainali ya michuano ya CRDB Confideration Cup kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuichakaza klabu ya Simba Sc kwa magoli 3 kwa 1. Mchezo huu wa nusu fainali ya pili baada ya ule mchezo wa nusu fainali ya kwaza uliozikutanisha timu za Yanga na […]
UBINGWA Simba Sc Kitendawili 2024/2025

Klabu kubwa Tanzania na barani Afrika Simba Sc imekua katika wakati mugumu wa kuweza kutwaa taji la michuano yoyote ile inayoshiriki kwa msimu huu wa 2024/2025. Ikumbukwe ya kua Simba msimu huu imeshiriki ligi ya klabu bingwa Afrika, ligi kuu ya NBC Tanzania bara na kombe CRDB Federation Cup. Lakini hadi sasa amebakiwa na ligi […]
CV ya Feisal Salum Abdallah (Fei Toto)

CV ya Feisal Salum Abdallah (Fei Toto)- Wasifu wa Feisal Salum Abdallah, Hapa tutaangazia kwa undani kuhusu wasifi na Cv ya mchezaji mpya wa Simba kwa upande wa CV, Umri na Historia yake. Kiufupi Makala hii inatoa taarifa nyingi kuhusu mchezaji wa huyu mpya wa Simba Sc, Fei Toto, ikianza na picha zake, wasifu wake […]