Michezo

Tanzania Vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16-12-2024

Filed in Michezo by on November 16, 2024 0 Comments

Tanzania Vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16-12-2024, Habari mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kukupa mwongozo wa mechi kati ya Ethiopia na Tanzania unaofanyika leo jumamosi 16-11-2024 Leo Tanzania inakutana na Ethiopia ugenini ikiwa imecheza michezo minne katika michuano ya kufudhu AFCON ikiwa imeshinda mchezo 1, imedraw mchezo mmoja na kufungwa […]

Continue Reading »

Nafai Za Kazi Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Novemba 2024

Filed in Michezo by on November 13, 2024 0 Comments

Nafai Za Kazi Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Novemba 2024 POST CABIN CREW INSTRUCTOR II(RE-ADVERTISED) DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To assist in conducting cabin crew training; ii. To Assist in conducting tutorial and practical exercises for students under close supervision; iii. To prepare material for practical exercises; iv. To conduct examination and submits results; […]

Continue Reading »

Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025

Filed in Michezo by on November 6, 2024 0 Comments

Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Habarika24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha juu ya jezi mpya za klabu ya Yanga zitakazoenda kutumika katika msimu huu mpya wa 2024/2025. Nafasi ya Yanga Msimu Uliopita Msimu uliopita katika ligi kuu ya NBC klabu ya Yanga alimaalufu kama wana jangwali walimaliza […]

Continue Reading »

Ratiba ya Mashindano ya Ngao ya Jamii 2024/2025

Filed in Michezo by on November 5, 2024 0 Comments

Ratiba ya Mashindano ya Ngao ya Jamii 2024/2025, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza tarehe rasmi za michezo ya miashindano ya Ngao ya Jamii kwa msimu wa 2024-25, ambapo michezo hiyo imepangwa kuanza kutimua vumbi Agosti 8 hadi Agosti 11, 2024. Hii inaashiria kuanza kwa msimu mpya wa soka nchini, ukiwa unatarajiwa kua […]

Continue Reading »

Kikosi Cha Yanga Msimu Wa 2024-2025

Filed in Michezo by on October 31, 2024 0 Comments

Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025, Kikosi cha Yanga 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi itakayo kupa mwongozo wa kikosi kipya cha Yanga kwa msimu wa 2024/25, Kikosi hikhi kipya cha Yanga 2024 kimejumuisha wachezaji wote waliosajiliwa katika msimu huu mpya wa ligi kuu ya NBC ikiwa ni mchakato wa kuendeleza kile […]

Continue Reading »

Huyu Hapa Kocha Mpya Wa Manchester United Mrithi Wa Ten Hag

Filed in Michezo by on October 28, 2024 0 Comments

Huyu Hapa Kocha Mpya Wa Manchester United Mrithi Wa Ten Hag, Jumatatu ya tarehe 28 mashabiki na wapenzi wa soka duniani kote walishuhudia klabu kubwa duniani Man Utd ikimfukuza kocha wake mkuu Eric Ten Hag kufuatia matokeo mabovu ya mfururizo kwa takribani mechi 8. Matokeo yaliochangia kufukuzwa kwake ni mechi yake na West Ham Utd […]

Continue Reading »

Rodri Mshindi Wa Ballon d’Or Msimu wa 2024

Filed in Michezo by on October 28, 2024 0 Comments

Rodri Mshindi Wa Tuzo Ya Ballon d’Or Msimu wa 2024, Habari mwanamichezo wa Habariak24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa matokeo ya kinyang’anyiro cha Macho yote ya wapenzi wa soka duniani kote yanaelekea Paris, Ufaransa, ambapo sherehe ya tuzo ya Ballon d’Or 2024 ilikofanyika na kutangazwa kwa mshindi. Tuzo hii ya heshima kubwa katika […]

Continue Reading »

Ten Hag Atimuliwa Man Utd

Filed in Michezo by on October 28, 2024 0 Comments

Ten Hag Atimuliwa Man Utd, Baada ya kuitumikia klabu ya Mancherster United kwa takribani miaka miwili na na miezi kadhaa hatimae kocha mkuu wa klabu hiyo Erik ten Hag amefukuzwa kazi kutokana na mfururizo wa matokeo mabovu ya timu hiyo. Maamuzi ya klabu ya Man United kumfuta kazi Ten Hag yamekuja baada ya mechi ya […]

Continue Reading »

Wafungaji Bora wa Muda Wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika

Filed in Michezo by on October 25, 2024 0 Comments

Wafungaji Bora wa Muda Wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Habari ya wakati huu mwanasoka wa Habarika24, niwakati mwingine tena tunakutana katika makala itakayo angazia juu ya Wafungaji Bora wa Muda Wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa undani wake. Kama wewe ni mwanasoka na fuatiliaji wa soka la Afrika hasa CAF Champions League basi […]

Continue Reading »

Wafungaji Bora wa Muda Wote Ligi Kuu Uingereza

Filed in Michezo by on October 25, 2024 0 Comments

Wafungaji Bora wa Muda Wote Ligi Kuu Uingereza, Ligi Kuu Uingereza (English Premier League) ni moja ya ligi maarufu na yenye ushindani mkubwa zaidi duniani. Imeanzishwa mwaka 1992, na tangu wakati huo imevutia wachezaji bora zaidi duniani kushiriki na kuonyesha uwezo wao. Historia ya Ligi Kuu Uingereza imejaa hadithi za wachezaji bora ambao wamepata umaarufu […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!