Sifa Kujiunga Chuo Cha Afya KAM College
Ikiwa unatafuta taarifa sahihi kuhusu sifa za kujiunga na KAM College of Health Sciences, basi uko mahali sahihi. KAM College ni moja ya vyuo vinavyotoa elimu ya afya kwa viwango vya juu nchini Tanzania. Chuo hiki kimesajiliwa na kinatambulika na Nacte pamoja na wizara ya afya, hivyo hutoa kozi zenye viwango vya kimataifa kwa watanzania wanaotamani kuingia kwenye sekta ya
Continue reading