
VIINGILIO Yanga Sc vs Simba Sc 25 June 2025
Baada ya michezo ya round ya 30 ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025 kumalizika siku ya jumapili ya tarehe 22 june 2025. Tarehe 25 Taifa linaenda kushuhudia Derby ya Kariakoo baina ya klabu ya Yanga na Simba. Mchezo huu kwa timu hizi mbili ni mchezo wa kiporo utakaoenda kukamilisha michezo […]