Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15/03/2026 hadi 15/04/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika […]
Nafasi 19 za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya anawatangazia watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na tisa (19) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Nafasi 19 za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo









