Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

Sifa Za Kujiunga Na Vyuo Vya Afya Tanzania 2025/2026

Filed in Elimu by on June 22, 2025 0 Comments

Vyuo vya afya nchini Tanzania vinawapatia vijana fursa ya kujifunza taaluma muhimu kama uuguzi, maabara, tiba ya meno, farmasia, na afya ya umma. Ili kupata nafasi, kuna vigezo maalum unavyostahili kuyatimiza. Makala hii yanakuletea sifa za kujiunga na vyuo vya afya kwa uwazi, ikiwa na vyanzo rasmi vya Tanzania. Mfumo wa Udahili (CAS) Maombi kwa […]

Continue Reading »

Sifa za Kusoma Medical Laboratory Ngazi Ya Diploma na Degree

Filed in Elimu by on June 22, 2025 0 Comments

Sifa za Kusoma Medical Laboratory Ngazi Ya Diploma na Degree, Sifa za kujiunga na Medical Laboratory Diploma na Degree, Vigezo vya kuijiunga na Medical Laboratory, Habari mwanahabarika24 karibu kwenye makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa sifa na vigezo vya kujiunga na kozi ya medical laboratory kwa ngazi za diploma na Degree. Kozi za Medical […]

Continue Reading »

Sifa Za Kusoma Laboratory Assistant 2025

Filed in Elimu by on June 22, 2025 0 Comments

Je, unataka kuwa Laboratory Assistant na unashangaa ni sifa zipi zinazohitajika kujiunga na kozi hii? Makala hii itaeleza kwa kina sifa za kusoma Laboratory Assistant kwa kuzingatia miongozo ya Taasisi mbalimbali za elimu nchini Tanzania, kama NACTVET na vyuo vya afya. Tumeandaa mwongozo huu kwa lugha rahisi ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu mwelekeo wa […]

Continue Reading »

Ada na Kozi Zitolewazo Na Chuo Cha DUCE 2025/2026

Filed in Elimu by on June 22, 2025 0 Comments

Dar es Salaam University College of Education (DUCE) ni mojawapo ya vyuo vikuu vinavyoendeshwa chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). DUCE hutoa kozi mbalimbali zinazolenga kuandaa walimu na wataalamu wa elimu katika ngazi ya stashahada, shahada ya kwanza, na uzamili. Makala hii inakupa mwongozo kamili kuhusu ada na kozi zitolewazo na Chuo […]

Continue Reading »

Ada na Kozi Zitolewazo Na Chuo Cha SUA 2025/2026

Filed in Elimu by on June 22, 2025 0 Comments

Orodha ya Kozi Zinazotolewa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ni Chuo Kikuu cha umma kilichopo Morogoro Tanzania. Chuo kikuu kipo kwenye miteremko ya milima ya Uluguru. SUA inajulikana zaidi kwa kutoa kozi na programu kwa upana katika nyanja ya Kilimo, Sayansi ya Mifugo, Misitu, Sayansi ya […]

Continue Reading »

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Kilimo SUA 2025/2026

Filed in Elimu by on June 22, 2025 0 Comments

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ni mojawapo ya taasisi bora nchini Tanzania zinazotoa elimu ya kilimo, mazingira, mifugo, na teknolojia ya chakula. Ili kujiunga na SUA, ni muhimu kuelewa vigezo na sifa zinazohitajika ili kuongeza nafasi yako ya kukubaliwa. Sifa za Kitaaluma (Academic Qualifications) Ufaulu wa kidato cha nne: Pasi angalau “D” nne […]

Continue Reading »

Ada na Kozi Zitolewza na Chuo cha IHET

Filed in Elimu by on June 22, 2025 0 Comments

Chuo cha Institute of Heavy Equipment and Technology (IHET) kilicho Kijitonyama, Dar es Salaam, ni taasisi inayokumbatia mafunzo ya vitendo yenye lengo la kutoa ujuzi wa mitambo mikubwa, teknolojia na ICT. Makala haya yanalenga kutoa muhtasari wa ada na kozi zitolewza na Chuo cha IHET. Utambulisho wa Chuo cha IHET IHET ni chuo kinachoendeshwa kwa […]

Continue Reading »

Sifa Za Kujiunga Na Chuo cha Mitambo na Teknolojia IHET

Filed in Elimu by on June 22, 2025 0 Comments

Chuo cha Mitambo na Teknolojia – Institute of Heavy Equipment and Technology (IHET) kina sifa mbalimbali zinazowavutia wanafunzi wanaotaka kujifunza uendeshaji na matengenezo ya mitambo mizito, magari, umeme na ICT. Inapatikana jijini Dar es Salaam, na ina matawi ya Mwanza na Dodoma Ikiungwa mkono na NACTVET kama kituo cha mafunzo ya ufundi stadi. IHET inatoa fursa nyingi kwa […]

Continue Reading »

Mitindo ya Nywele za Rasta 2025

Filed in Makala by on June 22, 2025 0 Comments

Mwaka 2025 umeleta mageuzi makubwa katika ulimwengu wa mitindo ya nywele, hasa kwa wale wanaopendelea mtindo wa rasta. Katika makala hii, tutakuongoza kwa undani kuhusu mitindo maarufu ya rasta 2025, tukieleza kila mtindo, kwa nani unafaa, faida zake, pamoja na vidokezo vya kutunza nywele zako ili ziwe na mvuto wa kipekee mwaka mzima. Mitindo Maarufu […]

Continue Reading »

Misuko Ya Nywele Za Kisasa 2025

Filed in Makala by on June 22, 2025 0 Comments

Kwenye tasnia ya urembo Tanzania, mitindo ya nywele hupanga upya mapigo kila mwaka. Mwaka 2025 unaletia mitindo mipya ya kusisimua, mbinu za utunzaji bora, na maana ya kitamaduni iliyozama kwenye kila msuko. Kwa wapenzi wa nywele ndefu, fupi, za rasta au uzi, makala hii inakupa muongozo kamili wa mitindo ya kisasa vya nywele 2025 vilivyobamba Tanzania, pamoja na vidokezo vya […]

Continue Reading »