Author Archive for: Kisiwa24 Blog

PDF za Majina Walioitwa Kazi Utumishi 20 June 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-09-2024 na tarehe 21-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi

Continue reading

NAFASI za Kazi Dereva Daraja la II Makambako Town Council

Halmashauri ya Mji Makambako imepokea kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kwa nafasi ya Dereva Daraja la II, Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako anatangaza nafasi za

Continue reading

NAFASI 11 za Kazi Makambako Town Council

Halmashauri ya Mji Makambako imepokea kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kwa nafasi ya Dereva Daraja la II, Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako anatangaza nafasi za

Continue reading

NAFASI 4 za Kazi Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II Muheza District Council

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II- NAFASI 04 KAZI NA MAJUKUMU i. Kuorodhesha barua zinazoingia kwenye regista (incoming correspondence register). ii. Kuorodhesha

Continue reading

NAFASI 6 za Kazi Dereva Daraja II Muheza District Council

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 06 KAZI NA MAJUKUMU i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya

Continue reading

NAFASI za Kazi Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II Muheza District Council

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA II – NAFASI 05 KAZI NA MAJUKUMU i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na Siri ii.

Continue reading

NAFASI 15 za Kazi Muheza District Council

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zizlzizopo. NAFASI 15 za Kazi Muheza District Council Hapa chini

Continue reading

NAFASI za Kazi Coca Cola Kwanza Ltd

Coca Cola Kwanza Ltd ni kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa vinywaji vilivyo na makao yake nchini Tanzania. Kampuni hii ni sehemu ya Coca-Cola Beverages Africa (CCBA), ambayo ni moja kati ya wachuuzi wakubwa wa bidhaa za Coca-Cola barani Afrika. Coca Cola Kwanza Ltd inaendeleza uzalishaji wa vinywaji mbalimbali kama Coca-Cola, Fanta, Sprite, na Maji ya Mto Safi, huku ikilenga

Continue reading
error: Content is protected !!