Kozi za Afya Zenye Soko Ngazi ya Degree
Katika ulimwengu wa sasa, sekta ya afya inakuwa kwa kasi kutokana na ongezeko la magonjwa, uhitaji wa wataalamu waliobobea, pamoja na maendeleo ya teknolojia ya matibabu. Kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita au stashahada na kutamani kusomea taaluma ya afya ngazi ya shahada, ni muhimu kuchagua kozi zenye soko na ambazo zina uhitaji mkubwa katika soko la ajira ndani na
Continue reading