Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Kilimo SUA 2025/2026
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ni mojawapo ya taasisi bora nchini Tanzania zinazotoa elimu ya kilimo, mazingira, mifugo, na teknolojia ya chakula. Ili kujiunga na SUA, ni muhimu kuelewa vigezo na sifa zinazohitajika ili kuongeza nafasi yako ya kukubaliwa. Sifa za Kitaaluma (Academic Qualifications) Ufaulu wa kidato cha nne: Pasi angalau “D” nne (Darasa la D au zaidi)
Continue reading