Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha UDOM 2025/2026
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kilichopo Dodoma na kilianzishwa mwaka 2007, ni mojawapo ya vyuo vikuu vinavyoongoza nchini Tanzania kwa utoaji wa elimu bora na yenye soko la ajira. Mwombaji yeyote anayetaka kujiunga na UDOM anatakiwa kujua kikamilifu sifa za kujiunga na Chuo Kikuu cha UDOM, mara nyingi zinapotajwa kama “entry requirements”. Sifa za Kujiunga na Programu za Shahada ya
Continue reading