RATIBA ya Round ya 16 Bora FIFA Club World Cup 2025
Toleo la 2025 la FIFA Club World Cup linaloandaliwa Marekani ni la kwanza lenye timu 32, likianza Juni 14 hadi Julai 13. Baada ya awamu ya makundi, timu 16 zilijipatia nafasi ya kucheza raundi ya 16 (Round of 16) kati ya Juni 28 na Julai. Muundo wa Round of 16 Timu zitacheza mechi za mfumo wa knock‑out; sare 90’ zitasuluhishwa kwa
Continue reading