Utajiri wa Mo Dewji na Bakhresa
Mo Dewji ni mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa MeTL Group, kikundi kikubwa cha biashara kinachofanya kazi katika sekta ya uzalishaji, kilimo, biashara ya rejareja, huduma za fedha, simu, bima, mali isiyohamishika, usafirishaji na chakula na vinywaji. Forbes 2025 inakadiria utajiri wake kufikia takriban $2.2 bilioni, akipoa kutoka $1.8 bilioni mwaka 2024 Said Salim Bakhresa ndiye mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bakhresa
Continue reading