MFANO wa Maswali Ajira za Air Tanzani
Ikiwa umepata fursa ya usaili kazi katika Air Tanzania Company Limited (ATCL), basi unahitaji kujiandaa kwa MFANO wa Maswali ya Usaili Ajira za Air Tanzani. Makampuni ya anga nchini Tanzania, kama ATCL, yanatarajia waombaji wawe na uelewa wa tasnia ya usafiri wa anga, huduma kwa mteja, usalama, na malengo ya shirika Maswali ya Jumla (General Questions) Jitambulishe “Tafadhali tusaidie kujulikana.”Unapaswa
Continue reading