Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

Yanga vs MC Alger Leo 18 January 2025

Filed in Michezo by on January 18, 2025 0 Comments

Yanga vs MC Alger Leo 18 January 2025 Habari mwana michezo wa Kisiwa24 Blog karibu katika kurasa hii itakayoenda kukupa uchambuzi wa kina juu ya mchezo wa Yanga dhidi ya MC Alger kwenye ligi ya mabingwa roundi ya 6 katika hatua ya makundi kusaka tiketi ya kuweza kufuzu hatua ya robo fainali. Siku na Muda […]

Continue Reading »

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs MC Alger 18/01/2025

Filed in Michezo by on January 18, 2025 0 Comments

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs MC Alger 18/01/2025 Kuelekea mchezo wa Yana vs MC Alger utakaochzwa tarehe 18 January 2025 ikiwa ni mchezo wa roundi ya 6 na mwisho ya hatua ya makundi tayari bei za tiketi za viingilio kwenye mchezo huo zimesha tangazwa. Pia vituo mbalimbali ambavyo vitatoa huduma kwa mashabiki […]

Continue Reading »

KIKOSI Yanga Vs MC Alger Leo 18 January 2025

Filed in Michezo by on January 17, 2025 0 Comments

KIKOSI Yanga Vs MC Alger Leo 18 January 2025 Habri mwanasoka wa Kisiwa24, karibu tena katika kurasa hii ya kimichezo ambayo kwa kina itaenda kuangazia juu ya kikosi cha Yanga kitakachoenda kuumana na klabu ya MC Alger leo jumamosi 18/01/2025 katika mechi ya roundi ya 6 na mwisho ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika […]

Continue Reading »

Yanga vs MC Alger Leo 18 January 2025 Ni Saa ngapi?

Filed in Michezo by on January 17, 2025 0 Comments

Yanga vs MC Alger Leo 18 January 2025 Ni Saa ngapi?, Yanga vs MC Alger leo 18/01/2025, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha muda sahihi wa mchezo wa marudiano wa roundi ya mwisho roundi ya 6 katika michuano ya klabu bingwa Afrika kati ya Yanga vs MC Alger. Mchezo huu […]

Continue Reading »

CV Ya Jonathan Ikangalombo Mchezaji Mpya wa Yanga

Filed in Michezo by on January 17, 2025 0 Comments

CV ya Jonathan Ikangalombo Mchezaji Mpya wa Yanga Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika makala hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kuangazi ajuu ya Cv ya Jonathan Ikangolomba mchezaji mpya wa Yanga, hapa tutakugia tarifa kadhaa za mchezaji huyu kama vileUmiri wa Jonathan Ikangalombo, timu alizo wahikuchezea Jonathan Ikangalombo klabla ya kusajiliwa na Yanga SC […]

Continue Reading »

VIINGILIO Mechi ya Yanga vs MC Alger 18 January 2025

Filed in Michezo by on January 17, 2025 0 Comments

VIINGILIO Mechi ya Yanga vs MC Alger 18 January 2025 Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 karibu katika makal hii fupi itakayoenda kukuonyesha kuhusu viingilio harisi vya mchezo wa marudiano wa raoundi ya 6 kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika 2025. Kama wewe ni shabiki wa klabu ya Yanga na mpenda soka basi naamini utakua kusubilia kwa […]

Continue Reading »

Timu Zilizofuzu Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025

Filed in Michezo by on January 13, 2025 0 Comments

Timu Zilizofuzu Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025 Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 Blog karibu katika blog yako pendwa na katika kurasa hii ya kimichezo tutaenda kukuonyesha orodha ya vilabu vilivyofanikiwa kuwea kusonga mbele katika hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika kwa msimu wa 2024/2025. Hatua ya Makundi Klabu bingwa Afrika Baada […]

Continue Reading »

Matokeo Al Hilal vs Yanga SC 12 January 2025

Filed in Michezo by on January 12, 2025 0 Comments

Matokeo Al Hilal vs Yanga SC 12 January 2025 Habari leo katika makala hii utaenda kutazama matokeo ya mchezo wa roundi ya 5 katika michuano ya klabu bingwa Afrika kati ya Al Hilal na Ynga SC. Kama wewe ni shabiki wa Yanga na mfuatiliaji wa michuano ya klabu bingwa Afrika msimu wa 2024/2025 hasa katika […]

Continue Reading »

Pwani Form Four Mock Exams 2024 All Subjects

Filed in Form Four Mock Exams by on January 7, 2025 0 Comments

Pwani Form Four Mock Exams 2024 All Subjects,mock examination form four pwani region,mitihani ya moko mkoa wa pwani 2024 masomo yote,how to download form four mock examinations Pwani region 2024.Habari karibu katika makala hii fupi ya kielimu itakayoenda kukupa mwongozo wa namna ya kuweza kudownload form four mock examination for pwani region. Form Four Mock […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kutambua na Kuthamini Mpenzi wa Ndoto Zako

Filed in Mahusiano by on January 7, 2025 0 Comments

Katika maisha ya kila siku, tunapokutana na watu tofauti, mara nyingine tunaweza kujikuta tukijiuliza, “Je, huyu ndiye mpenzi wa ndoto zangu?” Kumpata mtu sahihi ni hatua muhimu, lakini hata muhimu zaidi ni jinsi unavyotambua na kuthamini mpenzi huyo. Jinsi ya Kutambua na Kuthamini Mpenzi wa Ndoto Zako Katika blogu hii, tutaangazia hatua za kutambua mpenzi […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!