Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025

Filed in Michezo by on January 26, 2025 0 Comments

Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025, Orodha ya vilabu vilivyofuzu hatua ya robo fainali CAF Confederation CUP 2025. Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu tena katika kurasa hii ya kimichezo itakayoenda kuangazia juu ya timu ambazo zimefuzu kwenda hatua ya robo fainali katika michuano ya kombe la shirikicho barani Afrika […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kukopa Salio Airtel

Filed in Makala by on January 25, 2025 0 Comments

Jinsi ya Kukopa Salio Airtel, Habari ya wakati huu mfuatiliaji wa blog ya Habarika24, katika makala haya tunaenda kukuelekeza jinsi ya kukopa salio katika mtandao wa simu wa Airtel. Kama wewe ni mtumiaji wa laini ya airtel na ungependa kukopa salio na hufahamu ni hatua zipi za kufuata ili uweze kukopa salio pindi unapoishiwa na […]

Continue Reading »

Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake

Filed in Makala by on January 25, 2025 0 Comments

Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake, Habari ya wakati huu mpenzi mfuatiliaji wa blog yako pendwa ya Habarika24, kama ilivyo kua ada yetu tumekua tukikuletea maka za aina mbali mbali kila siku kuhusu jamii, uchumi na hata siasa, leo katika makala hii tutaenda angazia juu ya mishahara ya wabunge nchini Tanzania. Ifahamike ya […]

Continue Reading »

Mshahara wa Rais wa Tanzania

Filed in Makala by on January 25, 2025 0 Comments

Mshahara wa Rais wa Tanzania, Somo la mshahara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni jambo linalozungumzwa mara kwa mara kutokana na umuhimu wa ofisi katika uongozi wa nchi. Hata hivyo, kuna kutoelewana miongoni mwa viongozi na wenyeji kuhusu kiasi halisi cha mshahara wa Rais. Uwazi wa Mishahara ya Viongozi Ripoti kadhaa zinadai […]

Continue Reading »

Mshahara wa jaji Tanzania

Filed in Makala by on January 25, 2025 0 Comments

Mshahara wa jaji Tanzania, Fidia ya Jaji wa Tanzania katika mfumo wa sheria wa Tanzania inaweka msisitizo mkubwa katika kuwalipa fidia majaji katika jitihada za kuwatia moyo watekeleze wajibu wao kwa njia ya heshima na ufanisi. Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali hulipa mishahara ya majaji kama ilivyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa […]

Continue Reading »

Viwango Vya Mishahara ya Viongozi wa Serikali

Filed in Makala by on January 25, 2025 0 Comments

Viwango Vya Mishahara ya Viongozi wa Serikali, Kwa sababu haijulikani viwango halisi vya mishahara kwa taaluma hizi ni nini, mishahara ya maafisa wa serikali ya Tanzania ni suala nyeti. Hii ni mishahara ya maafisa wa serikali ya Tanzania kufikia 2024. Pamoja na baadhi ya takwimu kuwekwa hadharani, bado ni changamoto kupata taarifa sahihi na za […]

Continue Reading »

Ratiba Ya Ligi Ya Mabingwa Ulaya 2024/2025

Filed in Michezo by on January 23, 2025 0 Comments

Ratiba Ya Ligi Ya Mabingwa Ulaya 2024/2025 , Ligi ya Mabingwa ya UEFA, mashindano ya klabu bora zaidi Ulaya, inarejea kwa msimu wa 2024/2025 ikiwa na mabadiliko makubwa na hamu kubwa ya mashabiki. Msimu huu mpya unaleta muundo mpya wa mashindano, timu zaidi, na michezo zaidi ya kuvutia kwa mashabiki wa soka duniani kote. Ratiba […]

Continue Reading »

Msimamo Ligi ya Mabingwa Ulaya 2024/2025

Filed in Michezo by on January 23, 2025 0 Comments

Msimamo Ligi ya Mabingwa Ulaya 2024/2025 , UEFA Champions League Standing 2024/2025, Habari mwana Kisiwa24 Blog karibu katika makala hii fupi ya kimichezo ambayo kwa kina itaenda kuangazia juu ya msimamo wa ligi ya Mabingwa Ulaya inayofahamika kama UEFA Champions League. Kama wewe ni shabi wa soka basi sina shaka kua lazima utakua miongoni mwa […]

Continue Reading »

MATOKEO Simba vs CS Costantine Leo 19/01/2025

Filed in Michezo by on January 19, 2025 0 Comments

MATOKEO Simba vs CS Costantine Leo 19/01/2025 Habari ya leo mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu tena kwenye kurasa hii itakayoenda kukupa matokeo ya mchezo wa roundi ya 6 kwenye hatua ya makundi kufuzu robo fainali kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika 2024/2025. Mchezo huu utafanyika Jijini Dar es Salaam kunako majira ya saa 10:00 za […]

Continue Reading »

MATOKEO Yanga vs MC Alger 18/01/2025

Filed in Michezo by on January 19, 2025 0 Comments

MATOKEO Yanga vs MC Alger 18/01/2025 Leo tarehe 18 January 2025 klabu ya Yanga inaenda kucheza na klabu ya MC Alger ikiwa ni mchezo wa roundi ya mwisho roundi ya 6 kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika katika hatua ya makundi.Mchezo huu ni mchezo wa marudiano. Sisi kama Kisiwa24 Blog tuko hapa kuweza kukupa matokeo […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!