Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

Ratiba Ya Mechi za Yanga Februari 2025 NBC Premier League

Filed in Michezo by on February 1, 2025 0 Comments

Ratiba Ya Mechi za Yanga Februari 2025 NBC Premier League Timu ya Yanga SC, mabingwa watetezi wa NBC Premier League, wanaendelea na msimu wao wa 2025 kwa mtindo wa kipekee huku wakijizatiti kuhakikisha wanashinda kila mechi. Mashabiki wa Yanga SC na wapenda soka kwa ujumla wanatarajia mechi kali mwezi Februari, ambapo Yanga SC itakabiliana na […]

Continue Reading »

Ratiba Ligi kuu ya NBC Bara Mzunguko wa Pili 2024/2025

Filed in Michezo by on February 1, 2025 0 Comments

Ratiba Mpya ya Ligi Kuu NBC 2024-2025 Raundi ya Pili, Ratiba Ligi kuu ya NBC Bara Mzunguko wa Pili 2024/2025, Ratiba ya NBC Premier League Roundi ya 2 2025, Hii hapa ratiba mpya ya NBC 2024/2025 kwa mzunguko wa roundi ya Pili. BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza mabadiliko ya tarehe ya kurejea kwa […]

Continue Reading »

Kikosi cha Yanga vs Kagera Sugar leo 01/02/2025

Filed in Michezo by on February 1, 2025 0 Comments

Kikosi cha Yanga vs Kagera Sugar Leo 01/02/2025 Katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania, leo tarehe 1 Februari 2025, Young Africans (Yanga) itakutana na Kagera Sugar kwenye Uwanja wa KMC. Mchezo huu unaanza saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Maandalizi ya Yanga kuelekea Mechi dhidi ya Kagera Sugar Kocha […]

Continue Reading »

Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger leo 01/02/2025 Saa Ngapi?

Filed in Michezo by on February 1, 2025 0 Comments

Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger leo 01/02/2025 Saa Ngapi? Kama ni miongoni mwa watu wanaojiuliza kuhusu juu ya saa ngapi mechi ya Yanga na Kagera Sugar itacheza wakati gani siku ya Jumamosi, basi hapa katika kurasa hii utaenda kukupa mwongozo kamili wa mchezo huu wa kiporo ligi kuu ya NBC 2024/2025. Baada ya kusimama […]

Continue Reading »

Gharama na Usajili wa Vodabima AfyaPass Tanzania 2025

Filed in Makala by on January 31, 2025 0 Comments

Gharama na Usajili wa Vodabima AfyaPass Tanzania 2025 AfyaPass ni huduma ya bima ya afya ya kidigitali inayotolewa kupitia mtandao wa Vodacom. Huduma hii imeundwa mahususi kukidhi mahitaji ya wananchi wa kawaida, ikiwapa uwezo wa kupata huduma za afya kwa gharama nafuu. Wateja wanaweza kujisajili moja kwa moja kupitia simu zao za mkononi bila kuhitaji […]

Continue Reading »

Jinsi ya kupata tokeni za LUKU Vodacom M-Pesa 2025

Filed in Makala by on January 31, 2025 0 Comments

Jinsi ya kupata tokeni za LUKU Vodacom M-Pesa 2025 Mkala hii itaenda kuangazia zaidi jinsi ya kupata tena tokeni zako za luku ikiwa zimefutika Vodacom M-Pesa inatoa njia rahisi ya kulipia huduma mbali mbali, na kupata tokeni za Luku ni moja ya huduma maarufu zaidi zinazopatikana kupitia mfumo huu. Ikiwa unataka kujua jinsi ya kupata […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kupata Tokeni ya LUKU Tigo Pesa 2025

Filed in Makala by on January 31, 2025 0 Comments

Jinsi ya Kupata Tokeni ya LUKU Tigo Pesa 2025 Katika dunia ya sasa, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi zimekuwa ni mkombozi kwa Watanzania wengi. Moja ya huduma maarufu zaidi ni Tigo Pesa, ambayo inatoa huduma mbalimbali za kifedha, ikiwa ni pamoja na huduma ya kupata tokeni za Luku. Ikiwa unataka kujua jinsi ya […]

Continue Reading »

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger 01/02/2025

Filed in Michezo by on January 30, 2025 0 Comments

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger 01/02/2025, Habari siku ys jumamosi ya tarehe 01/202/2025 mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC watakua nyumbani katika uwanja wa KMC Complex wakiikalibisha klabu ya Kagera Sugar kutokea jijini Kagera. Mchezo huu ni mchezo wa kumalizia hatua ya mzunguko wa kwanza ambao haukufanyika hapo awali […]

Continue Reading »

Viingilio Mechi ya Yanga vs Kagera Suger 01 February 2025

Filed in Michezo by on January 30, 2025 0 Comments

Viingilio Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar 01 February 2025, Bei ya tiketi mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Jumamosi 01/02/2025, Habari karibu katika kurasa hii ya kimichezo ambayo kwa kina itaenda kukupa mwongozo wa viingilio kwenye mchezo wa kipolo wa ligi kuu ya NBC utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 01/02/2025 kwenye uwanja wa KMC […]

Continue Reading »

Tabora Utd vs Simba Sc Leo 2/02/2025 Saa Ngapi?

Filed in Michezo by on January 30, 2025 0 Comments

Tabora Utd vs Simba Sc Leo 2/02/2025 Saa Ngapi? Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika makala hii fupi ya kimichezo itakayoenda kukuonyesha muda wa mchezo wa Tabora Uts vs Simba SC Leo 02 february 2025. Baada ya Ligi kuu ya NBC kusimama ili kupisha michuano ya CHAN iliyokua ikifanyika Zanzibar hatimaye inalejea tena kwa kuanza […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!