Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania Leo 10 February 2025
Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania Leo 10 Februari 2025 Mashabiki wa soka nchini Tanzania wanatarajia kwa hamu na shauku kubwa mchezo wa leo kati ya Yanga SC na JKT Tanzania, mechi muhimu katika msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025. Timu zote mbili zitapambana vikali kuhakikisha zinaondoka na pointi tatu muhimu. Maelezo […]
Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024/2025 (Ligi Daraja la Kwanza)
Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024/2025, msimamo wa ligi daraja la kwanza Tanzania 2024/2025, HAbari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika kurasa hii fupi ya kimichezo itakayoenda kukupa mwenendo wa ligi ya NBC daraja la kwanza kwa msimu wa 2024/2025. Ligi NBC Championship ni ligi ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania ukiacha ile ya ligi kuu […]
Ratiba ya Mechi za Leo Ligi Kuu Ya NBC 10/02/2025
Ratiba ya Mechi za Leo Ligi Kuu Ya NBCÂ 10/02/2025 Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea kushika kasi huku timu mbalimbali zikisaka pointi muhimu katika msimamo wa ligi. Leo tarehe 10 Februari 2025, mashabiki wa soka watashuhudia mechi tatu kali ambazo zitachezwa katika viwanja tofauti. Mashindano haya ni muhimu kwa kila timu kwani yanaweza […]
Jinsi ya Kukopa Salio La Nipige Tafu Vodacom Tanzinia
Jinsi ya Kukopa Salio La Nipige Tafu Vodacom Tanzinia Jinsi ya Kupa salio la Nipigie Tafu, Karibu tena katika makala hii, leo tutaenda kukuelekeza namna ya kukopa salio la nipige tafu kwenye mtandao wa vodacom Tanzania. Kam wewe ni mtumiaji wa laini ya Vodacom na bado hujajua jinsi ya kukopa salio la nipige tafu vodacom. […]
SMS Za Usiku Mwema Kwa Kiingereza
Katika ulimwengu wa sasa wa teknolojia, kutuma SMS za usiku mwema kwa Kiingereza ni njia nzuri ya kuonyesha upendo, mapenzi, na kujali kwa wapendwa wetu. Ujumbe wa usiku mwema unaweza kuwa kifupi lakini chenye maana, au wa kina wenye hisia nzito. Katika makala hii, tunakuletea SMS bora kabisa za usiku mwema kwa Kiingereza ambazo unaweza […]
CV ya Miloud Hamdi Kocha Mpya wa Yanga
CV ya Miloud Hamdi Kocha Mpya wa Yanga Yanga SC imefanikiwa kumpata kocha mpya, Miloud Hamdi, ambaye ana uzoefu mkubwa katika ukocha wa soka barani Afrika na Ulaya. Miloud Hamdi ni kocha mwenye uzoefu mkubwa katika ulimwengu wa soka, akiwa na rekodi bora ya mafanikio katika vilabu mbalimbali. Ameonyesha uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko chanya […]
Kikosi cha Yanga vs Kengold Leo 05/02/2025
Kikosi cha Yanga vs Kengold Leo 05/02/2025 | Kikosi cha Yanga Leo Dhidi ya Kengold Ligi Kuu Katika jioni ya leo, Young Africans SC (Yanga) watashuka dimbani kuvaana na Kengold SC katika dimba la KMC Complex, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mchezo wa raundi ya 17 ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League). […]
Cv Ya Moussa Camara Kipa Mpya Wa Simba
Cv Ya Moussa Camara Kipa Mpya Wa Simba Moussa Camara ni mmoja wa makipa mahiri kutoka Guinea ambaye amejiunga na klabu ya Simba S.C. mwaka 2024. Camara anajulikana kwa ujuzi wake wa kupangua mashuti, uwezo wa kuongoza safu ya ulinzi, na uzoefu wake mkubwa katika soka la kimataifa. Katika makala hii, tutazamia kwa kina cv […]
Cv ya Elvis Rupia Mchezaji wa Singida Black Stars
Cv ya Elvis Rupia Mchezaji wa Singida Black Stars Elvis Baranga Rupia ni mmoja wa washambuliaji mahiri wa kandanda kutoka Kenya ambaye ameendelea kung’ara katika ligi mbalimbali barani Afrika. Kwa sasa, anachezea klabu ya Singida Black Stars, akivalia jezi namba 9. Katika makala hii, tutaangazia kwa kina Cv ya Elvis Rupia, historia yake ya soka, […]
Kikosi Cha Simba vs Tabora United Leo 02/02/2025
Kikosi Cha Simba vs Tabora United Leo 02/02/2025 Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 Blog, karibu kwenye kurasa hii ya kimichezo ambayo itaenda kukupa maelezo ya kina kuhusu kikosi cha Simba SC kitakachoenda kucheza na Tabora United leo siku ya Jumapili ya tarehe 02/02/2025. Baada ya kusimama kwa ligi kuu ya NBC jana jumamosi 01/02/2025 imerejea tena […]











