Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Mipango Dodoma 2025/2026
Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Mipango Dodoma | Jinsi ya kujiunga na chuo cha mipango ya Taasisi ya Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) Mahitaji ya Kuingia Chuo cha Mipango Dodoma, kinachojulikana rasmi kama Institute of Rural Development Planning (IRDP), ni taasisi maarufu nchini Tanzania inayotoa mafunzo maalum kwa wale wanaotaka kuwa wataalamu wa mipango […]
KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025
Baada ya Yanga Sc kutinga hatua ya nusu faibali ya kombe CRDB Federation CUP kwa masimu wa 2024/2025, leo 18 May 2025 inaenda kucheza mchezo wake wa nusu fainali na klabu ya JTK Tanzania. Mchezo huu wa fainali ya kwanza ya kombe la CRDB Federation CUP itafanyika jijini Tanga kuanzia majira ya saa 15:15 alasiri. […]
Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo MUST May 2025
Makamu Mkuu wa Chuo kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 22-05-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye […]
FIFA Club World Cup Live Ndani ya AzamTv 15 June 2025
FIFA Club World Cup 2025 ni toleo la kihistoria kwa sababu ni mara ya kwanza litajumuisha timu 32 kutoka mabara yote, na litafanyika nchini Marekani. Afrika imepewa nafasi nne (4) kwa ajili ya klabu zilizofanya vizuri katika mashindano ya CAF Champions League kati ya mwaka 2021 hadi 2024. Kuelekea michuano hii ya kidunuia inayoshirikisha vilabu mbalimbali duniani […]
MATOKEO RS Berkane vs Simba Sc 17 May 2025
MATOKEO RS Berkane vs Simba Sc 17 May 2025, Hatimae siku imewadia kwa mchuano wa nusufaninali ya kwanza ya kombe la shirikisho Afrika. Masikio na macho ya mashabiki wa mpira wa miguu Afrika na duniani leo 17 May 2025 yananda kujikita nchini Morocco kushuhudia pambano la kihistoria kati ya mnyama Simba Sc kutokea Tanzania na […]
Vinara wa Clean Sheets CAF Confederation CUP 2024/2025
Ikiwa sasa kombe la shirikisho Afrika limefikia hatua ya Fainali kwa kubakiwa na timu 2 tu Simba Sc ya kutokea nchini Tanzani na RS Berkane ya Nchini Morocco, Huku ikitazamiwa mchezo wa duru ya kwanza kufanyika tarehe 17 May 2025 nchini Morocco na mchezo wa duru ya pili kufanyika 27 May 2025 nchini Tanzania. Maelezo […]
KIKOSI Cha Simba Sc vs RS Berkane Leo 17 May 2025
Kikosi cha Simba Sc vs RS Berkane leo 17 May 2025, Baada ya safari ndefu ya michuano ya Kombe la shirikisho balani Afrika (CAF Confideration Cup) kwa myama Simba Sc hatimae nusu fainali ya mkondo wa kwanza imewadia. Leo tarehe 17 May 2025 klabu ya Simba itakua ugenini ikicheza mchezo wake wa kwanza wa nusu […]
Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Mkoa wa Iringa
Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) yanachukuliwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) na ni hatua muhimu kwa wanafunzi waliohitimu elimu ya juu sekondari. Matokeo haya yanaamua uwezo wa mwanafunzi kujiunga na vyuo vikuu, taasisi za kitaaluma, au kuingia katika soko la kazi. Kwa mwaka wa 2025/2026, wanafunzi wa Mkoa wa Iringa wanaweza kufuatilia matokeo […]
NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Mkoa wa Tanga
Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) ni hatua muhimu kwa wanafunzi waliohitimu masomo ya ngazi ya juu nchini Tanzania. Kwa wakaaji wa Mkoa wa Tanga, makala hii inatoa mwongozo kamili wa namna ya kupata matokeo ya 2025/2026, michanganyiko ya masomo, na mambo muhimu kuhusu uchambuzi wa matokeo. NECTA (Baraza la Mitihani la Tanzania) hutangaza matokeo ya […]
NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Mkoa wa Mbeya
Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) ni hatua muhimu kwa wanafunzi waliohitimu elimu ya juu sekondari nchini Tanzania. Kwa wanafunzi wa Mkoa wa Mbeya, kufahamu mchakato wa kutafuta na kuchambua Matokeo ya kidato cha sita 2025/2026 ni muhimu ili kujiandaa kwa hatua za kielimu au kazi. Makala hii inatoa maelezo yote muhimu kuhusu matokeo hayo, […]











