Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

NAFASI 12 za Kazi Karagwe District Council June 2025

Filed in Ajira by on June 10, 2025 0 Comments

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb.Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025. Hivyo anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Newala District Council June 2025

Filed in Ajira by on June 10, 2025 0 Comments

Halmashauri ya Mji Newala Imepokea kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025, chenye nafasi ya Dereva Daraja la II (3), kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania […]

Continue Reading »

NAFASI 15 za Kazi Njombe District Council June 2025

Filed in Ajira by on June 10, 2025 0 Comments

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kupitia Kibali cha Ajira Mpya chenye kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 chenye nafasi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II (4), Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (5), Dereva Daraja II (8) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Morogoro District Council June 2025

Filed in Ajira by on June 10, 2025 0 Comments

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro amepokea Kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi […]

Continue Reading »

Yanga: Hatujawai Lipwa Misimu 3 na Hatuna Taarifa ya Kudaiwa TFF

Filed in Michezo by on June 10, 2025 0 Comments

Baada ya taarifa ya Yanga kujibiwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuhusu madai ya liyotolewa na mwanahabari wa klabu ya Yanga kupitia mkutano wa vyombo vya habari uliofanyika 09 June 2025 makao makuu ya klabu hiyo kuhusu kuidai TFF na Mdamini wa mashindano ya CRDB Federation Cup fedha za bingwa wa mshindano […]

Continue Reading »

TFF ya Kana Kudaiwa na Yanga Tsh Milioni 200

Filed in Michezo by on June 10, 2025 0 Comments

Baada ya tarifa zilizoweza kutolewa na mwana habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe mbele ya vyombo vya habari kua wanaidai TFF na wazamini wakuu wa kombe la shirikisho (CRDB Federation Cup) kiasi cha shiling Milioni 200 za zaawadi za mshindi wa michuano hiyo kwa msimu wa 2023/2024, TFF imetoa taarifa za kukanusha madai hayo. […]

Continue Reading »

NAFASI 65 za Kazi Chuo Kikuu Cha MUST June 2025

Filed in Ajira by on June 10, 2025 0 Comments

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) ni taasisi ya elimu ya juu iliyoko jijini Mbeya, Tanzania, inayojishughulisha na kukuza elimu na utafiti katika nyanja mbalimbali za sayansi na teknolojia. Chuo hiki kimekuwa kituo muhimu cha maendeleo ya kitaaluma na kiuchumi, hasa kwa kutoa mafunzo ya hali ya juu na kushirikiana na sekta ya […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi SECUREX June 2025

Filed in Ajira by on June 10, 2025 0 Comments

SECUREX ni kampuni inayojishughulisha na usalama na ulinzi, ikiwa na lengo la kutoa huduma bora kwa wateja wake. Kampuni hiyo ina mtaalamu wa usalama na teknolojia ya kisasa ya kukidhi mahitaji mbalimbali, ikiwa ni pamoja na usalama wa majengo, usimamizi wa watumishi wa usalama, na mifumo ya kamera za CCTV. SECUREX ina sifa ya kuaminika […]

Continue Reading »

Makabila ya Tanzania na Vyakula Vyao vya Asili

Filed in Makala by on June 10, 2025 0 Comments

Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa utajiri wa makabila zaidi ya 120, kila moja likiwa na historia, mila, na vyakula vyao vya asili. Vyakula hivi si tu chakula cha mwili, bali pia vinaakisi tamaduni, maisha ya kila siku, na mazingira yanayowazunguka wanajamii husika. Kupitia makala hii, tutakufahamisha kuhusu baadhi ya makabila makubwa ya Tanzania na vyakula […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Enza Zaden Africa Ltd June 2025

Filed in Ajira by on June 10, 2025 0 Comments

Enza Zaden Africa Ltd ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na utengenezaji na usambazaji wa mbegu za hali ya juu za mboga na maua. Kampuni hiyo, ambayo ni tawi la Enza Zaden ya Uholanzi, imekuwa ikifanya kazi nchini Afrika kwa miaka kadhaa ikiwa na lengo la kuboresha uzalishaji wa mazao kwa wakulima wa Afrika. Kwa kutumia […]

Continue Reading »