Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

MATOKEO Yanga Sc vs Tanzania Prisons Leo Juni 18, 2025

Filed in Michezo by on June 18, 2025 0 Comments

Leo tunaenda kushuhudia mechi ya ligi kuu ya NBC Tanzania bara kati ya Tanzania Prisons vs Yanga Sc ikiwa ni mchezobwa round ya 29. Kuelekea mchezo huo Kisiwa24 Blog kwenye kurasa hii tutakuletea matokeo ya mchezo huu utakaopigwa kuanzia majira ya saa 10:00 za jion jijini Mbeya. MATOKEO Yanga Sc vs Tanzania Prisons Leo Juni […]

Continue Reading »

KIKOSI cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo Jun 18, 2025

Filed in Michezo by on June 18, 2025 0 Comments

Leo Juni 18, 2025 ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaenda kutimua vumbi huku klabu ya Yanga ikiikabili klabu ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Round ya 29. KIKOSI cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo Jun 18, 2025 Kuelekea mchezo huuu kisiwa24 tuko hapa kukujuza vikosi vya timu zote mbili vitakavyoenda kucheza kwenye mchezo wa […]

Continue Reading »

PDF: MAJINA Walioitwa Kazi Taasisi Mbalimbali (UTUMISHI) 17 June 2025

Filed in Ajira by on June 17, 2025 0 Comments

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 18-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali […]

Continue Reading »

NAFASI 115 za Kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Filed in Ajira by on June 17, 2025 0 Comments

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni chuo kikuu cha zamani zaidi nchini. Kilianza kama Chuo kinachoshirikiana na Chuo Kikuu cha London mwezi Oktoba 1961. Wakati huo, kilikuwa na Kitivo cha Sheria pekee (sasa Chuo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam), kilichoanza na wanafunzi 14 tu na wakufunzi watatu. Mwaka 1963, […]

Continue Reading »

NAFASI 72 za Kazi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Filed in Ajira by on June 17, 2025 0 Comments

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni moja kati ya vyuo vikuu vya umma nchini Tanzania vilivyo na sifa ya kuwa na mazingira mazuri ya kielimu na utafiti. Kilianzishwa mwaka 2007 na kuanza kufanya kazi mwaka 2012, UDOM imekuwa ikitoa elimu ya hali ya juu katika nyanja mbalimbali kama sayansi, teknolojia, sayansi ya jamii, na sanaa. […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 18 June 2025

Filed in Magazeti by on June 17, 2025 0 Comments

Habari ya wakati huu mwanakisiwa24 Blog, Karibu tena kwenye kurasa hii ya Magazeti ya Leo Tanzania Juni 18, 2025. Hapa utaweza kupata wasaha wa kupitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania. Kurasa hii ina kupa fursa ya kusoma vichwa vya habari vilivyoweza kupewa uzito kwenye kurasa za mbele za Magazeti ya Leo Tanzania 18 […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi AmeriCares Foundation Tanzania

Filed in Ajira by on June 17, 2025 0 Comments

AmeriCares Foundation Tanzania ni shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na kuboresha afya ya watu nchini Tanzania. Shirika hili linafanya kazi kwa kushirikiana na serikali, hospitali, na vikundi vya jamii kutoa huduma za afya, dawa, na mafunzo kwa wataalamu wa afya. AmeriCares inalenga hasa kusaidia watu walioko katika maeneo yaliyoathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi, magonjwa, […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Dereva Daraja La II

Filed in Ajira by on June 17, 2025 0 Comments

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Dereva Daraja La II Ili kuweza kusoma matokeo ya usahili huu tafdhari bonyeza kwenye linki hapo chini MATOKEO YA USAILI WA VITENDO DEREVA II Kwa […]

Continue Reading »

Mambo Muhimu Ya Kufanya Kabla Ya Tendo La Ndoa

Filed in Makala by on June 17, 2025 0 Comments

Kutangulia tendo la ndoa (kujamiiana) ni hatua kubwa katika uhusiano wowote wa kimapenzi. Maandalizi yanayofaa si tu kuhusu furaha ya wakati huo, bali pia kuhakikisha usalama, afya na uelewano kati ya wapenzi. Kufanya mambo haya kabla huongeza uwezekano wa uzoefu chanya na kuweka msingi imara kwa siku zijazo. Haya ndiyo Mambo ya kufanya kabla ya tendo […]

Continue Reading »

Club 10 Bora za Mpira wa Miguu Duniani

Filed in Michezo by on June 17, 2025 0 Comments

Mpira wa miguu ni mchezo unaovutia mamilioni kote ulimwenguni, na klabu kubwa hutawala kwa uwezo, ushindani na heshima. Kwa mujibu wa takwimu za hivi punde, ubora wa kila klabu hupimwa kwa michuano ya ndani na kimataifa, uwezo wa kiuchumi, na ushindi wa kombe muhimu. Katika makala hii, tutachunguza Club 10 bora duniani mwaka 2025, zilizochaguliwa kwa […]

Continue Reading »