Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

NAFASI za Kazi Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II Muheza District Council

Filed in Ajira by on June 19, 2025 0 Comments

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA II – NAFASI 05 KAZI NA MAJUKUMU i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka […]

Continue Reading »

NAFASI 15 za Kazi Muheza District Council

Filed in Ajira by on June 19, 2025 0 Comments

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zizlzizopo. NAFASI 15 za Kazi […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Coca Cola Kwanza Ltd

Filed in Uncategorized by on June 18, 2025 0 Comments

Coca Cola Kwanza Ltd ni kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa vinywaji vilivyo na makao yake nchini Tanzania. Kampuni hii ni sehemu ya Coca-Cola Beverages Africa (CCBA), ambayo ni moja kati ya wachuuzi wakubwa wa bidhaa za Coca-Cola barani Afrika. Coca Cola Kwanza Ltd inaendeleza uzalishaji wa vinywaji mbalimbali kama Coca-Cola, Fanta, Sprite, na Maji […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi MUHAS

Filed in Ajira by on June 18, 2025 0 Comments

Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya na Sayansi (MUHAS) ni moja kati ya vyuo vikuu vinavyojulikana zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kimeanzishwa mwaka 1976 na kimekuwa kituo muhimu cha kielimu na utafiti katika nyanja za afya, ikiwa ni pamoja na uganga, uuguzi, dawa, na sayansi ya afya. MUHAS ina sifa ya kutoa […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Amana Bank

Filed in Ajira by on June 18, 2025 0 Comments

Amana Bank ni benki ya kipekee nchini Tanzania inayojulikana kwa kufuata mfumo wa kibenki wa kikiislamu. Inatoa huduma mbalimbali za kifedha kwa wateja wake, ikiwa ni pamoja na akaunti za akiba, mikopo, na huduma za biashara, zote zikiendana na kanuni za Sharia. Benki hii inalenga kuwahudumia wateja wa aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wafanyikazi, […]

Continue Reading »

NAFASI 15 za Kazi Dereva Daraja La II Arusha City Council

Filed in Ajira by on June 18, 2025 0 Comments

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Jiji la Arusha kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA/97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na […]

Continue Reading »

NAFASI 8 za Kazi Ikungi District Council

Filed in Ajira by on June 18, 2025 0 Comments
NAFASI 8 za Kazi Ikungi District Council

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi amepokea kibali cha Ajira mpya chenye Kumb Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Hivyo anatangazia Watanzania wote wenye Sifa kutuma maombi kwa nafasi zilizopo. MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI ➢ Waombaji wote […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 19 June 2025

Filed in Magazeti by on June 18, 2025 0 Comments

Habari ya wakati huu mwanakisiwa24 Blog. Karibu katika kurasa hii ya Magazeti ya leo Tanzania Juni 19, 2025, Hapa utaweza kupitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo tanzania. Kurasa hii inakupa fursa ya kuweza kusom vichwa vya habari zilizoweza kupewa uzito katika kurasa za mbele za Magazeti ya leo Alhamisi 19 June 2025 MAGAZETI […]

Continue Reading »

The Evolution of Casino Gaming: From Traditional to Online

Filed in ready_text by on June 18, 2025 0 Comments
The Evolution of Casino Gaming: From Traditional to Online

The gaming industry has experienced a substantial transformation over the last few years, evolving from traditional brick-and-mortar establishments to a thriving online gaming landscape. This shift began in the late 1990s when the first online casinos surfaced, enabling players to gamble from the ease of their residences. By 2023, the online gambling market was estimated […]

Continue Reading »

MATOKE ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Juni 18, 2025

Filed in Michezo by on June 18, 2025 0 Comments

Leo tunaenda kushuhudia mechi kadhaa za ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwenye viwanja tofauti tofauti ikiwa ni michezo ya mzunguko wa 29 wa ligi kuu ya NBC. Kisiwa24 inakulete matokeo ya michezo yote kwenye kurasa hii moja. Ili kuweza kutizama matokeo ya kila mchezo Tafadhari bonyeza linki ya kwenye kila mechi hapo chini Azam […]

Continue Reading »