Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
MATOKEO Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025
Leo tarehe 22 June 2025 tunaenda kushuhudia mchezo wa round ya 30 wa ligi kuu ya NBC mchezo utakaozikutanisha timu 2 kati ya Yanga Sc dhidi ya Dodoma Jiji. Kisiwa24 Blog kupitia ukurasa huuu tutakuletea matukio na matokeo ya mchezo huu live hapa. Unachotakiawa kufanya ni kutembelea ukurasa huu mara kwa mara ili kuweza kutazama […]
KIKOSI cha Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025
Leo ligi kuu ya NBC Tanzania Bar inaenda kukamilisha mchezo wke wa round ya mwisho ya 30 huku klabu ya Yanga ikienda kuikaribisha klabu ya Dodoma Jiji mchezo wa wisho kwa Dodoma jiji na mchezo wa 29 kwa klabu ya Yanga. Kisiwa24 tunakuletea vikosi vya timu zote 2 kuelekea mchezo huu. Malezo ya Mchezo Ligi: […]
Matokeo ya Mock Darasa la Saba Mkoani Mbeya 2025
Matokeo ya Mock Darasa la Saba mkoani Mbeya mwaka 2025 yameonyesha ufanisi mkubwa wa wanafunzi katika mitihani hiyo ya majaribio. Kwa ujumla, asilimia kubwa ya wanafunzi walipita kwa kiwango cha wastani na juu, ikionyesha ujitolewa wao na waalimu katika kujiandaa kwa mitihani ya halisi ya Darasa la Saba. Shule kadhaa zilistawi na kufikia matokeo bora […]
Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 Mikoa Yote
Ulikuwa unatafuta Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 kutoka mikoa yote ya Tanzania? Uko mahali sahihi. Karibu kwenye Mitihanibora.co.tz kuona Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 kutoka mikoa mbalimbali. Matokeo ya Mitihani ya Mock Darasa la Saba 2025 yanapatikana bure kwenye makala hii. Bonyeza tu mkoa ambako shule yako iko, kisha chagua wilaya […]
PDF za Majina Walioitwa Kazi Utumishi 20 June 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-09-2024 na tarehe 21-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali […]
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 20 June 2025
Habari ya wakati huu mwanakisiwa25 blog, karibu tena kwenye kurasa hii ya Magazeti ya leo Tanzania Juni 20, 2025. Hapa utaweza kusoma vichwa vya habari vilivyoweza kupewa uzito kwenye kurasa za mbele za Magazeti ya leo Tanzania 20 June 2025 MAGAZETI ya Leo Ijumaa 20 June 2025
NAFASI za Kazi Dereva Daraja la II Makambako Town Council
Halmashauri ya Mji Makambako imepokea kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kwa nafasi ya Dereva Daraja la II, Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi wa Halmashauri ya […]
NAFASI 11 za Kazi Makambako Town Council
Halmashauri ya Mji Makambako imepokea kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kwa nafasi ya Dereva Daraja la II, Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi wa Halmashauri ya […]
NAFASI 4 za Kazi Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II Muheza District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II- NAFASI 04 KAZI NA MAJUKUMU i. Kuorodhesha barua zinazoingia kwenye regista […]
NAFASI 6 za Kazi Dereva Daraja II Muheza District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 06 KAZI NA MAJUKUMU i. Kukagua gari kabla na baada ya […]











