Nauli Mpya za Treni ya Mwendokasi SGR 2025
Treni ya Mwendokasi ya SGR imekuwa njia bora ya usafiri kati ya miji mikubwa nchini Tanzania. Kwa mwaka 2025, Nauli mpya za SGR zimebadilika ili kuendana na maendeleo ya huduma, gharama za uendeshaji, pamoja na mahitaji ya abiria. Hapa tunakuletea taarifa kamili, sahihi na ya kina kuhusu nauli hizi mpya ili uweze kupanga safari zako kwa ufanisi.
Vigezo Vilivyotumika Kupanga Nauli za Treni ya Mwendokasi SGR
Hapa ni mwongozo wa vigezo viliovyotumika katika kupanga nauli za treni ya mwendokasi
- Umbali
- Umri wa Abiria
Kwa kuzingatia kigezo cha umli mamlaka imetaja kua watoto wenye umri wa zaidi ya miaka 12 na watu wazima nauli kwa umbali wa kilomita moja itakua Tsh 69.51, kwa watoto wenye umri kuanzia miaka 4 hadi 12 nauli imetajwa kua Tsh. 34.76 kwa kilomita moja. Na kwa watoto wote walio chini ya umri wa miaka 4 watasafiri bure

Nauli Mpya Za Treni Ya Mwendokasi SGR
Muhtasari wa Nauli Mpya za SGR 2025
Kwa mwaka 2025, nauli za Treni ya Mwendokasi zimetangazwa rasmi kwa safari kati ya vituo mbalimbali. Nauli hizi zimegawanywa kulingana na daraja la huduma (daraja la kwanza, daraja la pili), aina ya treni (express au ordinary), na umbali wa safari.
Daraja la Kwanza (First Class)
-
Dar es Salaam hadi Morogoro: 60,000 TZS
-
Dar es Salaam hadi Dodoma: 130,000 TZS
-
Dar es Salaam hadi Makutupora: 150,000 TZS
Daraja la Pili (Economy Class)
-
Dar es Salaam hadi Morogoro: 30,000 TZS
-
Dar es Salaam hadi Dodoma: 70,000 TZS
-
Dar es Salaam hadi Makutupora: 80,000 TZS
Nauli Mpya za treni ya mwendokasi SGR 2025
Hizi ndizo Nauli za Treni ya Mwendokasi SGR 2025 Kwa Abiria Wenye umri zaidi ya miaka 12
Safari | Umbali (Km) | Nauli (Shilingi) | |
Kutoka | Kwenda | Daraja la Kawaida | |
Dar es Salaam | Pugu | 19 | 1000 |
Dar es Salaam | Soga | 51 | 4000 |
Dar es Salaam | Ruvu | 73 | 5000 |
Dar es Salaam | Ngerengere | 134.5 | 9000 |
Dar es Salaam | Morogoro | 192 | 13000 |
Dar es Salaam | Mkata | 229 | 16000 |
Dar es Salaam | Kilosa | 265 | 18000 |
Dar es Salaam | Kidete | 312 | 22000 |
Dar es Salaam | Gulwe | 354.7 | 25000 |
Dar es Salaam | Igandu | 387.5 | 27000 |
Dar es Salaam | Dodoma | 444 | 31000 |
Dar es Salaam | Bahi | 501.6 | 35000 |
Dar es Salaam | Makutupora | 531 | 37000 |
Nauli za Treni ya Mwendokasi SGR 2024 Kwa Abiria Wenye umri Kuanzaia Miaka 4 hadi 12
Safari | Umbali (Km) | Nauli (Shilingi) | |
Kutoka | Kwenda | Daraja la Kawaida | |
Dar es Salaam | Pugu | 19 | 500 |
Dar es Salaam | Soga | 51 | 2000 |
Dar es Salaam | Ruvu | 73 | 2500 |
Dar es Salaam | Ngerengere | 134.5 | 4500 |
Dar es Salaam | Morogoro | 192 | 6500 |
Dar es Salaam | Mkata | 229 | 8000 |
Dar es Salaam | Kilosa | 265 | 9000 |
Dar es Salaam | Kidete | 312 | 11000 |
Dar es Salaam | Gulwe | 354.7 | 12500 |
Dar es Salaam | Igandu | 387.5 | 13500 |
Dar es Salaam | Dodoma | 444 | 15500 |
Dar es Salaam | Bahi | 501.6 | 17500 |
Dar es Salaam | Makutupora | 531 | 18500 |
Kama tulivyosema hapo awali mchanganuo wa anaulio hapo juu umezingatia kigezo cha umbali utoka Dar es Salaam kwenda kituo kingine kama vile tumeona nauli ya treni ya mwendokasi SGR kutoka Dar es Salaam kwenda morogoro na vile vile nauli ya treni ya mwendokasi SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma kwa daraja la kawaida na kuzingatia umbali wa safari kwa kilometa.
Soma Pia;
1. Ratiba ya treni ya SGR Dar to Morogoro
2. Ratiba ya Treni ya SGR Dar to Dodoma
Tags: Makala, Nauli Mpya Za Treni Ya Mwendokasi SGR, Nauli ya Mwendokasi Dar to Dodoma, Nauli ya Mwendokasi Dar to Morogoro, Nauli ya Treni ya Umeme SGR, Nauli za Treni ya Mendokasi, Viwango vya nauli ya mwendokasi SGR