Kama unatafuta majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano Kilimanjaro kwa mwaka wa masomo 2025/2026, umekuja mahali sahihi. Makala hii inakuletea orodha kamili ya wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na kidato cha Tano mkoa wa Kilimanjaro, maelezo ya mchakato wa uteuzi, na hatua zinazofuata baada ya kuchaguliwa.
Orodha ya Majina Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Kilimanjaro 2025
Wanafunzi waliopata nafasi ya kujiunga na kidato cha tano mkoani Kilimanjaro ni kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, wakichaguliwa kulingana na ufaulu wao katika Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne (CSEE). Hapa chini tumekuandalia muhtasari wa jinsi ya kupata majina ya waliochaguliwa, shule walizopangiwa, pamoja na hatua za kuchukua baada ya uchaguzi huo.
Jinsi ya Kuangalia Majina Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Mkoa wa Kilimanjaro
Ili kutazama majina ya waliochaguliwa, fuata hatua hizi:
- Tembelea Tovuti ya TAMISEMI – www.tamisemi.go.tz
- Bonyeza kwenye “Selections”
- Chagua “Form Five Selection”
- Ingiza namba yako ya mtihani (Index Number)
- Bonyeza “Search” kuona matokeo yako
Ikiwa umechaguliwa kujiunga kidato cha tano Kilimanjaro, hongera! Hakikisha unafuata maelekezo ya kujiandikisha na kuanza maandalizi kwa masomo. Kama hujaona jina lako, wasiwasi siyo lazima, unaweza kufanya appeal kupitia mfumo wa TAMISEMI.
Hapa chini ni listi ya ya Wilaya na shule itakusaidia kutazama jina lako kwa urahisi zaidi bonyeza kwenye wilaya uliosoma kutazama jina lako;
HAI DC MOSHI DC
MOSHI MC
MWANGA DC
ROMBO DC
SAME DC
SIHA DC
Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara (FAQs)
1. Je, ninaweza kudai kubadilishwa shule baada ya kuchaguliwa?
Ndio, lakini mchakato huo unahitaji kuwasiliana moja kwa moja na TAMISEMI au ofisi ya elimu mkoani Kilimanjaro.
2. Ni vigezo gani vilitumika kuchagua wanafunzi?
Wanafunzi walichaguliwa kwa kuzingatia:
- Alama za mtihani wa kidato cha nne
- Mahitaji ya kozi husika
- Uwezo wa shule za kidato cha tano
3. Je, ninaweza kuingia kidato cha tano bila kuchaguliwa?
Hapana, lazima uwe umechaguliwa kupitia mfumo wa TAMISEMI.