MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Vituo Vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba Vs Stellenbosch Fc 20 April 2025
Mara baada ya kutangazwa kwa viingilio vya mchezo wa nusu fainali ya kwanza kati ya Simba Sc vs Stellenbosch Fc kutokea nchini Afrika ya kusini mchezo utakao pigwa katika uwanja wa Amaan Zanzibar uwanja wenye uwezo wa kuchukua takribani mashabiki elfu 15,000 kunako siku ya jumapili kuanzia majira ya saa 16:00 za jioni tayari Vituo Vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba Vs Stellenbosch Fc 20 April 2025 vimesha wekwa bayana.
Vituo Vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba Vs Stellenbosch Fc 20 April 2025
Na sisi tukiwa kama wadau wakubwa wa soka tumekusogezea ewe shabiki wa Simba na mpenzi wa soka orodha ya vituo vyote zinavyotumika katika kununuli tiketi kwa ajili ya mchezo huu
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA