MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Matokeo ya Al Masry vs Simba SC Leo 2 April 2025
Hatimaye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la shirikisho Barani Afrika 2024/2025 (CAF Confederation Cup 2024/2025) kwa klabu ya Simba kutoka Tanzania na Al Masry kutoka Misri utafanyika leo tarehe 02 April 2025 nchini Misri kwenye uwanja wa Suez kuanzia majira ya Saa 1:00 za Usiku.
Kuelekea mchezo huo Kisiwa24 Blog tutakua hewani live kuhakikisha tunakuletea mwenendo na matukio ya mchezo huu LIVE kutoka Nchini Misri (Live Simba Sc vs Al Masry, Live Al Masry vs Simba Sc)
Live Al Masry vs Simba Sc 02 April 2025
Hapa chini utapata matokeo yote ya mchezo live kutoka uwanja wa Suez nchini Misry kuanzia dakika 1 hadi ya dk 90
KIPINDI CHA KWANZA
Live Al Masry 1 – 0 Simba Sc
FULL TIME
Al Masry 2 – 0 Simba Sc
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA