Mathematics New Syllabus for Secondary Schools I-IV 2025
Muhtasari wa Somo la Biolojia kwa Shule za Sekondari I-IV
Pakua Muhtasari Mpya wa Hisabati (Mathematics New Syllabus for Secondary Schools I-IV 2025) Kidato cha I-VI PDF. Muhtasari Mpya wa Somo la Hisabati kwa ngazi ya O-Level kwa shule za sekondari Tanzania. Pakua muhtasari mpya wa elimu ya sekondari – kidato cha kwanza hadi cha nne katika faili la PDF. Pakua muhtasari mpya 2024/2025.
Muhtasari ni waraka unaoainisha taarifa zote muhimu kuhusu kozi/somo la chuo. Muhtasari unaorodhesha mada utakazosoma.
Kwa kawaida muhtasari unajumuisha:
- Tarehe za mwisho
- Maandalizi muhimu ya darasa
- Kazi za kufanya
- Jinsi utakavyopimwa
- Usimamizi wa muda
Click HERE to Download Mathematics Syllabus
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Biology New Syllabus for Secondary Schools I-IV 2025
2. Physics New Syllabus for Secondary Schools I-IV 2025
3. Geography New Syllabus for Secondary Schools I-IV 2025