Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»Ratiba Ligi kuu ya NBC Bara Mzunguko wa Pili 2024/2025
    Michezo

    Ratiba Ligi kuu ya NBC Bara Mzunguko wa Pili 2024/2025

    Kisiwa24By Kisiwa24February 1, 2025No Comments9 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Ratiba Mpya ya Ligi Kuu NBC 2024-2025 Raundi ya Pili, Ratiba Ligi kuu ya NBC Bara Mzunguko wa Pili 2024/2025, Ratiba ya NBC Premier League Roundi ya 2 2025, Hii hapa ratiba mpya ya NBC 2024/2025 kwa mzunguko wa roundi ya Pili. BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza mabadiliko ya tarehe ya kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC ambayo hapo awali ilipangwa kuendelea Machi 1, 2025 baada ya kutamatika kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi na fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN).

    Ratiba Ligi kuu ya NBC Bara Mzunguko wa Pili 2024/2025

    Michezo ya Ligi Kuu ya NBC itarejea katika juma la kwanza la Februari, 2025 kwa michezo ya ‘viporo’ kabla ya kuendelea na michezo ya mzunguko wa 17. Tarehe rasmi pamoja na ratiba iliyofanyiwa maboresho, zitatangazwa hivi karibuni.

    Mabadiliko ya Ratiba kwa Mujibu wa CAF

    Mabadiliko hayo yamekuja baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kusogeza mbele fainali za CHAN kutoka Februari 1, 2025 hadi Agosti, 2025 hivyo kutoa nafasi kwa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea na michezo ya Ligi Kuu ya NBC ambayo ilisimama kupisha fainali hizo.

    Bodi ya Ligi inatoa wito kwa klabu zote kuhakikisha zinaongeza nguvu katika maandalizi ya timu zao kiufundi pamoja na masuala mengine hasa yahusuyo miundombinu ya viwanja, ambavyo vitakaguliwa kabla ya kurejea kwa Ligi.

    Viwanja na Maandalizi ya Timu

    Viwanja vitakavyokosa sifa vitaondolewa katika orodha na klabu mwenyeji italazimika kuteua uwanja mwingine miongoni mwa vilivyothibitishwa kwa ajili ya michezo yake ya nyumbani.

    Bodi inazitakia kila la kheri klabu zote na wadau wengine katika maandalizi yao kuelekea kurejea kwa Ligi Kuu ya NBC.

    Ratiba ya Michezo ya Ligi Kuu NBC Raundi ya 16 hadi 30

    Raundi ya 16

    1 Februari 2025

    • Yanga vs Kagera Sugar – 16:00 – KMC Complex
      2 Februari 2025
    • Tabora United vs Simba – 16:00 – Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Raundi ya 17

    5 Februari 2025

    • Tabora United vs Namungo – 16:00 – Ali Hassan Mwinyi
    • Yanga vs Kengold FC – 16:00 – KMC Complex
    • Dodoma Jiji vs Pamba – 19:00 – Jamhuri Stadium

    6 Februari 2025

    • Tanzania Prisons vs Mashujaa – 14:00 – Sokoine Stadium
    • Fountain Gate vs Simba – 16:15 – Tanzanite Kwaraa
    • Azam vs KMC – 19:00 – Azam Complex

    7 Februari 2025

    • Coastal Union vs JKT Tanzania – 16:00 – Sheikh Amri Abeid
    • Singida Black Stars vs Kagera Sugar – 16:00 – CCM Liti Stadium

    Raundi ya 18

    9 Februari 2025

    • Pamba Jiji vs Azam – 16:00 – CCM Kirumba
    • Namungo vs Dodoma Jiji – 19:00 – Majaliwa Stadium

    10 Februari 2025

    • Kengold vs Fountain Gate – 16:00 – Sokoine Stadium
    • KMC vs Singida Black Stars – 16:00 – KMC Complex
    • JKT Tanzania vs Yanga – 16:00 – Meja Isamuhyo

    11 Februari 2025

    • Mashujaa vs Coastal Union – 16:00 – Lake Tanganyika Stadium
    • Simba vs Tanzania Prisons – 16:00 – KMC Stadium
    • Kagera United vs Tabora United – 19:00 – Sokoine Stadium

    Raundi ya 19

    14 Februari 2025

    • Yanga vs Dodoma Jiji – 16:00 – KMC Complex
    • Singida Black Stars vs Pamba Jiji – 16:00 – CCM Liti Stadium

    15 Februari 2025

    • Simba vs Mashujaa – 16:00 – Benjamin Mkapa
    • Kagera Sugar vs Azam – 19:00 – Kaitaba Stadium

    Raundi ya 20

    18 Februari 2025

    • JKT Tanzania vs Namungo – 16:00 – Meja Isamuhyo
    • Fountain Gate vs KMC – 16:00 – Tanzanite Kwaraa
    • Coastal Union vs Tabora United – 16:00 – Sheikh Amri Abeid

    19 Februari 2025

    • Dodoma Jiji vs Tanzania Prisons – 16:00 – Jamhuri Stadium
    • Yanga vs Singida Black Stars – 19:00 – KMC Complex

    Raundi ya 21

    21 Februari 2025

    • Tanzania Prisons vs Tabora United – 14:00 – Sokoine Stadium
    • JKT Tanzania vs Kagera Sugar – 16:00 – Isamuhyo

    22 Februari 2025

    • Kengold vs KMC – 16:00 – Sokoine Stadium
    • Dodoma Jiji vs Fountain Gate – 19:00 – Jamhuri Stadium

    23 Februari 2025

    • Singida Black Stars vs Pamba – 14:00 – CCM Liti
    • Mashujaa vs Yanga – 16:00 – Lake Tanganyika Stadium
    • Namungo vs Coastal Union – 19:00 – Majaliwa Stadium

    24 Februari 2025

    • Simba vs Azam – 16:00 – KMC Complex

    Raundi ya 22

    26 Februari 2025

    • Fountain Gate vs Tanzania Prisons – 14:00 – Tanzanite Kwaraa
    • Singida Black Stars vs Mashujaa – 16:00  – CCM Liti Stadium
    • Kagera Sugar vs KMC – 19:00 – Kaitaba Stadium

    27 Februari 2025

    • JKT Tanzania vs Kengold – 16:00 – Isamuhyo
    • Azam vs Namungo – 19:00 – Azam Complex

    28 Februari 2025

    • Tabora United vs Dodoma Jiji – 14:00 – Ali Hassan Mwinyi
    • Pamba Jiji vs Yanga – 16:00 – CCM Kirumba Stadium

    1 Machi 2025

    • Coastal Union vs Simba – 16:00 – Sheikh Amri Stadium

    Raundi ya 23

    5 Machi 2025

    • Kengold vs Mashujaa – 16:00 – Sokoine Stadium

    6 Machi 2025

    • KMC vs Fountain Gate – 16:00 – KMC Complex
    • Namungo vs Singida Black Stars – 19:00 – Majaliwa Stadium
    • Azam vs Tanzania Prisons – 21:00 – Azam Complex

    7 Machi 2025

    • Tabora United vs JKT Tanzania – 16:00 – Ali Hassan Mwinyi
    • Kagera Sugar vs Pamba Jiji – 19:00 – Kaitaba
    • Dodoma Jiji vs Coastal Union – 21:00 – Jamhuri Stadium

    8 Machi 2025

    • Yanga vs Simba – 19:15 – Benjamin Mkapa National Stadium

    10 – 12 Machi 2025

    • CRDB Federation Cup

    17 – 26 Machi 2025

    • FIFA International Window

    Raundi ya 24

    1 Aprili 2025

    • Tabora United vs Yanga -16:00 – Ali Hassan Mwinyi

    2 Aprili 2025

    • Pamba Jiji vs Namungo – 14:00 – CCM Kirumba Stadium
    • KMC vs Tanzania Prisons – 16:00 – KMC Complex
    • Fountain Gate vs Singida Black Stars – 16:00 – Tanzanite Kwaraa Stadium

    3 Aprili 2025

    • JKT Tanzania vs Dodoma Jiji – 16:00 – Isamuhyo Stadium
    • Kengold vs Azam – 16:00 – Sokoine Stadium
    • Kagera Sugar vs Coastal Union – 19:00 – Kaitaba Stadium

    2 Mei 2025

    • Simba vs Mashujaa – 16:00 – KMC Complex

    Raundi ya 25

    5 Aprili 2025

    • Pamba Jiji vs Tabora United – 14:00 – CCM Kirumba Stadium
    • Mashujaa vs Fountain Gate – 16:00 – Lake Tanganyika Stadium

    6 Aprili 2025

    • Tanzania Prisons vs Kagera Sugar – 14:00 – Sokoine Stadium
    • Singida Black Stars vs Azam – 16:00 – CCM Liti
    • Dodoma Jiji vs Kengold – 18:30 – Jamhuri Stadium
    • Namungo vs KMC – 21:00 – Majaliwa Stadium

    7 Aprili 2025

    • Yanga vs Coastal Union – 16:00 – KMC Complex

    5 Mei 2025

    • JKT Tanzania vs Simba – 16:00 – Isamuhyo

    Raundi ya 26

    8 Aprili 2025

    • Pamba Jiji vs Fountain Gate – 16:00 – CCM Kirumba Stadium

    9 Aprili 2025

    • JKT Tanzania vs Namungo – 14:00 – Isamuhyo
    • Kengold vs Tanzania Prisons – 16:00 – Sokoine Stadium
    • Dodoma Jiji vs Kagera Sugar – 19:00 – Jamhuri Stadium

    10 Aprili 2025

    • Mashujaa vs Tabora United – 16:00 – Lake Tanganyika Stadium
    • Coastal Union vs Singida Black Stars – 16:00 – Sheikh Amri Abeid Stadium
    • Azam vs Yanga – 17:00  – Azam Complex

    11 Mei 2025

    • KMC vs Simba – 16:00 – KMC Complex

    11 – 13 Mei 2025

    • CRDB Bank Federation Cup Quarter Finals

    18 – 20 Mei 2025

    • CAF Semi Finals

    Raundi ya 27

    18 Aprili 2025

    • Tanzania Prisons vs JKT Tanzania – 16:00 – Sokoine Stadium
    • KMC vs Dodoma Jiji – 16:00  – Sokoine Stadium

    19 Aprili 2025

    • Singida Black Stars vs Tabora United – 16:00 – CCM Liti Stadium
    • Kagera Sugar vs Azam – 19:00 – Kaitaba Stadium

    20 Aprili 2025

    • Fountain Gate vs Yanga – 16:00 – Tanzanite Kwaraa Stadium
    • Namungo vs Mashujaa – 19:00 – Majaliwa Stadium

    21 Aprili 2025

    • Coastal Union vs Kengold – 16:00 – Sheikh Amri Abeid Stadium

    8 Mei 2025

    • Simba vs Pamba Jiji – 16:00 – CCM Kirumba Stadium

    Raundi ya 28

    12 Mei 2025

    • Tanzania Prisons vs Coastal Union – 16:00 – Sokoine Stadium
    • Kagera Sugar vs Mashujaa – 18:30 – Kaitaba Stadium

    13 Mei 2025

    • Kengold vs Pamba Jiji – 16:00 – Sokoine Stadium
    • JKT Tanzania vs Fountain Gate – 14:00 – Isamuhyo Stadium
    • Azam vs Dodoma Jiji – 19:00 – Azam Complex
    • Yanga vs Namungo – 16:00 – KMC Complex

    14 Mei 2025

    • Simba vs Singida Black Stars – 16:00 – KMC Complex
    • Tabora United vs KMC – 16:00 – Sokoine Stadium

    Raundi ya 29

    21 Mei 2025

    • Michezo yote itaanza *1600 Hours* katika viwanja mbalimbali

    Raundi ya 30

    25 Mei 2025

    • Michezo yote itaanza *1600 Hours* katika viwanja mbalimbali

    Hii ni ratiba rasmi ya Ligi Kuu NBC Tanzania 2024-2025 raundi ya pili.

    Michezo ya Kusisimua ya Raundi ya 20 hadi 25

    Kipindi cha katikati ya msimu kinatarajiwa kuwa na michezo ya kusisimua, hususan katika raundi ya 20 hadi 25, ambapo timu zenye ushindani mkubwa kama Yanga, Simba, Azam, na Namungo zitakutana. Mashabiki wanashauriwa kufuatilia kwa karibu ratiba hizi ili wasikose ladha ya burudani ya soka la Tanzania.

    Raundi ya 26 hadi 30: Hatua za Mwisho za Ligi

    Katika raundi za mwisho, timu zitajitahidi kukusanya alama muhimu ili kuepuka kushuka daraja au kubeba taji la ubingwa. Yanga na Simba, kwa kawaida, ndizo timu zinazopigiwa chapuo, lakini timu kama Azam, KMC, na Singida Black Stars zinaweza kutoa changamoto kubwa.

    Mchezo wa Kariakoo Derby

    • 8 Machi 2025: Yanga vs Simba, Saa 1:15 Usiku – Benjamin Mkapa National Stadium
      Kariakoo Derby ni moja ya michezo inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini na nje ya mipaka.

    Hitimisho

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania inatoa wito kwa mashabiki, wachezaji na klabu zote kujiandaa kwa ratiba mpya iliyotolewa. Hakika huu ni msimu wa kipekee na unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali zaidi.

    Ligi Kuu NBC msimu wa 2024-2025 inaahidi kuwa yenye msisimko na ushindani mkubwa. Klabu zote zinapaswa kujipanga vyema ili kufikia malengo yao. Bodi ya Ligi inawatakia klabu zote kila la kheri katika msimu huu.

    Mapendekezo ya Mhariri;

    1. Tazama Hapa Makundi ya AFCON 2025 

    2. Orodha ya Mabingwa Kombe la Shirikisho Afrika

    3. Orodha Ya Mabingwa Klabu Bingwa Afrika

    4. Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

    5. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNafasi za Kazi :- Port Clerk Supervisor at Alistair
    Next Article Ratiba Ya Mechi za Yanga Februari 2025 NBC Premier League
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Chagua mechi za Raundi ya 3 za AFCON zenye kusisimua zaidi na 1xBet!

    December 30, 2025
    Michezo

    MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

    December 7, 2025
    Michezo

    Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

    December 7, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202561 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202540 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202561 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202540 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.