Tabora Utd vs Simba Sc Leo 2/02/2025 Saa Ngapi?
Tabora Utd vs Simba Sc Leo 2/02/2025 Saa Ngapi?
Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika makala hii fupi ya kimichezo itakayoenda kukuonyesha muda wa mchezo wa Tabora Uts vs Simba SC Leo 02 february 2025.
Baada ya Ligi kuu ya NBC kusimama ili kupisha michuano ya CHAN iliyokua ikifanyika Zanzibar hatimaye inalejea tena kwa kuanza nanmechi za Viporo.
Klabu ya Simba inasafiri kutika Dar es Salaam hadi mkoani Tabora kuvaana na Tabora Utd.
Tabora Utd vs Simba SC Saa ngapi?
Hili limekua swali kuubkwa mashabiki wengi wa Soka nchini Tanzania kutokana na ubora wa kikosi cha Tabora na ushindani wake katika ligi kuu ya NBC kwa msimu huu wa 2024/2025
Hapa utaenda kupata ratiba ya mchezo huu na mahari utakapoenda kufanyika.
Ratiba Ya Mechi Ya Tabora Utd Vs Simba SC Leo 2/02/2025
Mchezo wa marudiano wa mzunguko wa 2 kati ya wekundu wa Msimbazi dhidi ya Tabora Utd utafanyika siku ya Jumapili 02 January 2025
# Ligi Kuu ya NBC
# Tabora Utd vs Simba SC
# Tabora
# 16:00 Jioni
# Ali Hassan Mwinyi Stadium
Simba inakutana na Tabora ikiwa katika nafasi ya 1 kwa kujikusanyia pointi 40 huku Tabora Utd wao wakiwa katika nafasi ya 5 kwa pointi 25.