Yanga vs MC Alger Leo 18 January 2025 Ni Saa ngapi?, Yanga vs MC Alger leo 18/01/2025, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha muda sahihi wa mchezo wa marudiano wa roundi ya mwisho roundi ya 6 katika michuano ya klabu bingwa Afrika kati ya Yanga vs MC Alger.
Mchezo huu ni mchezo wa kutafuta nshindi wa nafasi ya 2 atakayefuzu kwenda hatua inayofuata ya robo fainali katika kundi A.
Yanga vs MC Alger Leo 18 January 2025 Ni Saa ngapi?
Hapa chini ni maelezo ya saa ngapi mchezo huu utafanyika, siku gani na utafanyikia katika uwanja gani.
๐ #CAFCL | Klabu Bingwa Afrika
โฝ๏ธ Young Africans ๐ MC Alger
๐ 18/01/2025
๐ Benjamini Mkapa- Dar es Salaam
๐ 10:00 Jioni
Mapendekezo ya Mhariri
1. MATOKEO Yanga vs MC Alger 18/01/2025
2. CV Ya Jonathan Ikangalombo Mchezaji Mpya wa Yanga
3. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025
4. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025
5. Ratiba ya Mechi za Liverpool Ligi Kuu ya Uingereza EPL 2024/2025