CV ya Jonathan Ikangalombo Mchezaji Mpya wa Yanga
Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika makala hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kuangazi ajuu ya Cv ya Jonathan Ikangolomba mchezaji mpya wa Yanga, hapa tutakugia tarifa kadhaa za mchezaji huyu kama vileUmiri wa Jonathan Ikangalombo, timu alizo wahikuchezea Jonathan Ikangalombo klabla ya kusajiliwa na Yanga SC pia tutatazama hitoria ya Jonathan Ikangalombo katika ulimwengu wa soka, maisha klabla ya soka ya Jonathan Ikangalombo
CV Ya Jonathan Ikangalombo Mchezaji
Jina kamili anaitwa Jonathan Djogo Kapela Ikangalombo, amezaliwa tarehe 5 April 202 nchi DR Congo kwa sasa anaumri wa miaka 23, Hivyo kiasili Jonathan Djogo Kapela Ikangalombo yeye ni raia wa nchi ya DR Congo. Jonathan Ikangalombo anakimo kizuri cha ulefu kinachoweza kumfanya aweze kua na uhuru wa kucheza mipira ya aina yote hata ile ya juu kwani anaurefu wa Mita 1.80 ambao ni sawa na Sentimeta 180.
Jonathan Ikangalombo akiwa uwanjani anaweza kutumika katika nafasi tofauti tofauti lakini kiuchezaji Jonathan Ikangalombo hucheza nafasi ya winga wa kulia japo anaweza kutumika pia katika nafasi ya winga wa kushoto na wakatimwingine kama mshabuliaji.
Jonathan Ikangalombo Amecheza klabu kadhaa kabla kusajiliwa na Yanga katika dirisha dogo la usajili la January 2o25, klabu alizoweza kuchezea Jonathan Ikangalombo ni pamoja na DC Motemapembe pamoja na AS Vita zote za Nchini DR Congo.
Kwa sasa Jonathan Ikangolomba yuko nchini Tanzania akitioa huduma yake katika klabu ya wana jangwani Yanga SC, amejiunga na Yanga tarehe 16 January 2025
Maelzo ya CV ya Jonathan Ikongolomba kwa Kifupi
CV ya Jonathani Ikangalombo |
||
1 | Jina Kamili | Jonathan Djogo Kapela Ikangalombo |
2 | Umri | Miaka 23 |
3 | Urefu | Miter 1.80 |
4 | Tarehe ya Kuzalia | 5 April 2002 |
5 | Uraia | DR Congo |
6 | Nafasi yake Uwanjani | Winda wa Kushoto, kulia na mshambuliaji |
7 | Timu alizowahi Kucheza | DC Motemapembe, AS Vita – zote za Kongo |
Timu ya Sasa | Yanga SC (16 January 2025) |
Tazama Video ya Utambulisho wa Jonathan Ikangalombo Yanga
Umuhimu wa Usajili wa Jonathan Ikongalombo Yanga SC.
Usajili huu unaumuhimu mkubwa sana kwa klabu ya Yanga ikiwa nisehemu ya kuendelea kufanya uboreshaji wa kikosi chake katika safu ya Winga, sasa kwa kipindi hiki ambacho klabu ya Yanga inaenda kutafuta nafasi ya kusonga mbele katika michuano ya klabu bingwa Afrika na pia maandalizi ya msimu wa pili wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara 2024/2025.
Mtarajajio ya Wanachi Kwenye Usajili wa Jonathani Ikongalombo
Mashabiki wa klabu ya Yanga kama wajulikanavyo wananchi watarajie makubwa kutoka kwa mchezaji huyu kwani amekuja kuleta changamoto kubwa kwa baadhi ya wachezaji waliopo katika kikosi cha Yanga kitu kitakachoweza kuongeza uwajibikaji miongoni mwa wachezaji na kuleta matokeo chanya katika michezo itakayochezwa.
Mapendekezo ya Mhariri
1. Tetesi za Usajili Dirisha Dogo Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025
2. Orodha ya Makombe Yote ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Tanzania
3. Msimamo wa Ligi ya NBC Championship Tanzania 2024/2025
4. Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara
5. Orodha ya Makombe yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya