Vituo vya TIKETI Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025, Vituo vya TIKETI mchezo wa Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025 CAF,Sehemu za kununulia tiketi mechi ya Yanga na TP Mazembe January 04,2025. Habari ya wakti huu mwanamichezo wa Kisiwa24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa maeneo ambayo Tiketi za mchezo wa Yanga vs TP Mazembe zinapatikana.
Je unatamani kwenda kushuhudia mchezo kati ya Yanga SC na TP Mazembe mchezo wa marudiano hatua ya makundi kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika na hufahamu wapi kwa kwenda kukatia tiketi? basi usijali kwani makala hii ittaenda kukuonyesha maeneo yote ambayo tikeki za mchezo huu zinapatikana.
Bei ya Tiketi Mechi ya Yanga Vs TP Mazembe
Bei ya kiikigili kwenye mechi ya klabu bingwa barani Afrika round ya 4 kati ya Yanga na TP Mazembe vimegawanywa katika makundi manne amabyo ni
- Mzunguko (Orange)
- VIP C
- VIP B
- VIP A
ili kuweza kutazamaz bei ya tiketi ya mchezo huu kati ya Yanga na TP Mazembe basi bonyeza HAPA
Vituo vya TIKETI Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025
Hapa chini ni orodha ya vituo vya kununulia tikeki kuelekea mchezo wa hatua ya makundi roundi ya 4 kati ya Yanga na TP Mazembe ikiwa ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo ule wa DR Congo ulioisha kwa matokeo ya sare ya goli 1-1.
1. Young Africans – Jangwani
2. Vunja Bei – Dar es Salaam
3. T-Money LTD – Kigamboni
4. Gitano Samwel – Mbagara Zakiem
5. Khalfan Mohamed – Ilala
6. Lampard Electronics
7. Gwambina Lounge – Gwambina
8. Karoshy Pamba – Dar Live (Zakheim)
9. Antonio Service – Sinza, Kivukoni
10. Tumpe Kamwela – Kigamboni
11. Sovereign – Kinondoni Mkaburini
12. View Blue Skyline – Mikocheni
14. Mkaluka Traders – Machinga Complex
15. New Tech General Traders – Mbagala Maji Matitu
16.Juma Burrah – Kivukoni
17. Juma Burrah – Ubungo
18. Alphan Hinga – Ubungo
19. Mtemba Service Co – Temeke
20. Jackson Kimambo – Ubungo
21. Shgirima Shop – Leaders
Hayo hapo ndio maeneo ambayo wanasoka na mashabiki wa klabu ya Yanga wanaweza kutembelea ili kuweza kujinunulia tiketi zao mapema kabisa. Hapa chini ni picha inayoonyesha maeneo ambayo tumweza kuyaainisha hapo juu kwa ajili ya kununua tiketi kuelekea mchezo huu wa Yanga na TP Mazembe roundi ya 4 kwenye kundi A.
Njia nyingine ya Kununua Tiketi ya Mchezo wa Yanga vs TP Mazembe
Nje ya kutyembelea vituo vya nunuliji tiketi lakini pia shabi anaweza kujikatia tiketi yake kupitia mitandao ya simu kama vile Vodaom, Tigo na Airtel kupitia huduma ya N-Card.