Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki ya Kutoa Mwaliko, Barua ya Kirafiki ya Kutoa Mwaliko, Mfano wa Barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko, Habari mwanakiswa24, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kutoa mwongozo juu ya namna ya kuandika barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko.
Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki ya Kutoa Mwaliko
Barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko ni barua muhimu sana kwani kwani huta nafasi kwa mwandishi kuweza kuwasiliana na rafiki yake na kumpa mwaliko wa hafla flani niayoenda kufanyika, mfano maafari, sherehe ya ndoa, ubatizo, kipaimara,sherehe za kumbukumbu nnk.
Muundo wa barua ya kirafiki ya kutoa Mwaliko
Barua ya kirafiki ya Kutoa mwaliko hufuata muundo wa abura ya kirafiki huku lengo la barua ikiwa nikutoa taarifa za mwaliko.
1. Anwani ya Mwandikaji
2. Tarehe
3. Mwanzo wa Barua
4. Kiini cha Barua
5. Hitimisho
6. Mwisho wa Barua
Mfano wa Barua ya Kirafiki Ya Kutoa Mwaliko
Hapa chini ni mfano wa uandishi wa barua ya kirafiki ya Kutoa mwaliko
Umuhimu wa Barua ya Kiriafiki ya Kutoa Mwaliko
Barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko inaumuhimu mkubwa zaidi kwani hulenga kutoa mwaliko kwa mwandikiwa wa barua na pia husaidia kuendelea kudumisha urafiki kati ya mwandishi na mpokeaji barua.
Hitimisho
Barua ya kirafiki ya Kutoa Mwaliko hufuata muundo wa barua ya kirafiki, huku ikiwa lengo kuu la barua ni kutoa mwaliko kwa anayeandikiwa barua ili kumfanya aweze kuhudhuria tukio flani litakalofanyika.
Mpendndekezo ya Mhariri;
Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki
Website Nzuri Za Kudownload Movie Mtandaoni