Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Simba SC 2025/2026
    Michezo

    Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Simba SC 2025/2026

    Kisiwa24By Kisiwa24July 2, 2025No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Simba SC 2025/2026, Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2025/2026. Habari mwana Simba SC na shabiki wa mpira wa miguu, karibu kwenye makala hii fupi itakayokupa mwongozo wa makadirio ya mishahara wanayoweza kua wanalipwa wachezaji wa klabu ya Simba SC kwa msimu huu wa 2025/2026.

    Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Simba SC

    Kuhusu Simba SC

    Klabu ya Simba ali maarufu kama wekundu wa msimbazi ni moja ya klabu kubwa Tanzania na hata barani Afrika kutokana na ushindani wake katika michuano mbalimbali. Kwenye msimamo wa virabu bora Afrika klabu ya Simba kwa mujibu wa CAF inashika nafasi ya 7

    Klabu ya Simba hutumia picha ya mnyama Simba katika nembo yake kama utambulisho wake

    Simba imekua moja ya klabu zenye kulipa mishahara mikubwa zaidi kwa wachezaji wake kitu ambacho kimeperekea wachezaji wengi kutoka mataifa tofauti tofauti barani Afrika kutamani kujiunga na klabu hiyo.

    MAkala hii kama tulivyokwisha kusema tutaenda kuangazia kwa wastani kiasi wanacholipwa baadhi ya wachezaji wa klabu ya Simba kutokana na taarifa zinazokuwa zikipatikana wakati wa usajili wa mchezaji husika.

    Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2025/2026

    Jedwali la hapa chini linaonyesha makadilio ya mishahara ya baadhi ya wachezaji wanaoitumikia klabu ya Yanga kwa msimu wa 2024/2025.

    Jina la Mchezaji Taifa Lake Mshahara (TZS)
    Aishi Salum Manula Tanzania 14 Milioni
    Peter Banda Malawi 6 Milioni
    Nasolo Kapama Tanzania 2.5 Milioni
    Moses Phiri Zambia 15 Milioni
    Luis Miqussion Tanzania 8.1 Milioni
    Fondoh Che Malone Cameroon 9 Milioni
    Aubian Kramo Cote d’Ivoire 9 Milioni
    Mohamed Hussein Tanzania 10 Milioni
    Shomari Kapombe Tanzania 10 Milioni
    Hamisi Kazi Tanzania 2.2 Milioni
    Sadio Kanouté Mali 16 Milioni
    Mzamiru Yassin Tanzania 7 Milioni
    Devid Kameta Tanzania 2 Milioni
    Husein Abel Tanzania 2 Milioni
    Ally Salim Juma Tanzania 1.8 Milioni
    Fabrice Ngoma DR Congo 7 Milioni
    Henoc Inonga Baka DR Congo 11 Milioni
    Kennedy Juma Tanzania 3 Milioni
    Saido Ntibanzokiza Burundi 6.2 Milioni
    Israel Patrick Mwenda Tanzania 2 Milioni
    Denis Kibu Tanzania 3.7 Milioni
    Jimson Stephen Mwanuke Tanzania 1,000,000
    Willy Onana Cameroon 6 Milioni
    Hussein Hasan Tanzania Mshahara haujafahamika
    Auyoub Lakrey Morocco Mshahara haujafahamika
    Hussein Abel Tanzania 2.1 Milioni

    Sababu za Mishahara yao Kuwa Juu

    Kunasababu kadhaa zinazoweza kusababisha mishahara ya wachezaji wa Simba SC kuweza kutofautiana kutoka mchezaji moja hadi mwingine. Hapa chini ni miongoni mwa baadhi ya sababu hizo tu.

    1. Uzoefu wa Kimataifa

    2. Umahiri wa Kipekee

    3. Ushindani wa Soko

    4. Mchango kwa Timu

    5. Umaarufu kwa Mashabiki

    Hata hivyo klaba ya Simba imezidi kua tishio katika michuano mbalimbali ndani na nje ya Tanzania. Kwa msimu huu wa 2024/2025 klabu ya Simba ndio klabu pekee inayoshiriki michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika na sasa iko kwenye hatua ya makundi na imepangwa katika kundi A.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleWachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Yanga Sc 2025/2026
    Next Article Jinsi ya kujiunga na vifurushi vya Startimes 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026
    Michezo

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026
    Michezo

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,377 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025587 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,377 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025587 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Our Picks

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.