Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025, Magolikipa mwenye clean Sheets Nyingi ligi kuu ya NBC 2024/2025, Habari karibu kwenye makla fupi ya kimichezo itakayoenda kukupa mwenyendo wa Magolikipa vinara wenye clean sheets zaidi NBC Premier League msimu wa 2024/2025.
Claen Sheets Inamaana Gani
Clean Sheet kwenye ulimwengu wa soka inachukuliwa kua ni hari ya timu inapokutana na timu pinzani na golikipa kuto ruhusu goli kuweza kungia kwenye lango lake hadi kumalizika kwa mchezo. Hivyo basi golikipa atakaye maliza msimu kwa kutoruhusu wavu wake kutikiswa na timu pinzani mara nyingi huchukuliwa kama kinara wa clean sheets kwenye ligi.
Kwa msimu uliopita wa 2023/2-24 tuliona golikipa wa klabu ya Coastal Union mwenye uraia wa Congo, Ley Matamp ndiye aliyeibuka kidedea kama golikipa bora wa msimu huku akifuatiwa na golikipa kutoka klabu ya Yanga Djigui Diarra raia wa MALI.
Msimu mpya wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC Tayali umesha anza kutimua vumbi na rekodi mbalimbali zimesha anza kutengenezwa na wachezaji kutokana na nafasi zao, kama vile vinara wa magoli, vinara wa assist na pia hata magolikipa mwenye clean sheets nyingi zidi kwenye ligi kuu ya NBC msimu huu mpya wa 2024/2025. Tumeshuhudia hadi sasa golikipa kutoka klabu ya Simba Pinpin Camara ndinye amekua mwiba wa clean Sheets akifuatiwa na Patrick Munthari kutoka klabu ya Mashujaa.
Vinara wa “Clean Sheets” Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024-2025 hadi sasa
Hapa chini ni orodha ya magolikipa vinara wa clean sheets NBC Preamier Leugue 2024/2025
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
2. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
3. Orodha ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025