Mwongozo wa Bei ya Madini ya Dhahabu Tanzania 2025, Gharama ya dhabau Tanzania,Bei ya dhabu,Dhabu ni moja ya madini yenye thamani zaidi Tanzania na duniani kwa ujumla. Tanzania ni moja ya nchi zinazojivunia kwa kua na machimbo mengi ya uchimbaji wa madni ya aina ya dhahabu.
Leo katika makala hii tunaenda kuangazia soko la dhahabu nchini Tanzania, Hapa tutaangalia zaidi juu ya bei ya madini aina ya dhahabu yanayopatikana Tanzania
Umuhimu wa Dhahabu Tanzania
Tanzania imejiimarisha kama mojawapo ya nchi muhimu katika uzalishaji wa dhahabu Afrika. Sekta ya madini, hususani dhahabu, inachangia sehemu kubwa katika pato la taifa na ajira kwa Watanzania.
Namna ya Kuangalia Bei ya Dhabu Tanzania
Kama unataka kufuatili soko na mwenendo wa bei ya madini ya Dhabu Tanzania basi unaweza kufuata hatua zifuatazo hapa chini.
- Kwa kutembelea baadhi ya tovuti Mtandaoni kama vile, GoldPriceZ na Live Price of Gold
- Kwa kutembelea maduka yanayouza Dhahabu
- Application za Simu – kwenye google play Store kuna App mbalimbali ambazo zinaweza kukupa taarifa za bei ya dhahabu
Hizo hapo juu ni njia kuu tatu zinazoweza kukupa taarifa juu ya bei ya madini ya Dhahabu Tanzania
Mwongozo wa Bei ya Madini ya Dhahabu Tanzania
Hapa chini ni ghafu linaloonyesha bei ya dhahabu Tanzania
Gram Moja ya Dhahabu | TZS | Kiwango Cha Juu | Kiwango Cha Chini |
GRAM GOLD 24K | 203,666.73 | 204,002.11 | 203,153.16 |
GRAM 22K | 186,966.06 | 187,273.94 | 186,494.60 |
GRAM 21K | 178,208.39 | 178,501.85 | 177,759.02 |
GRAM 18K | 152,750.05 | 153,001.58 | 152,364.87 |
GRAM 14K | 119,145.04 | 119,341.23 | 118,844.60 |
GRAM 10K | 84,929.03 | 85,068.88 | 84,714.87 |
GRAM 6K | 50,916.68 | 51,000.53 | 50,788.29 |
Mapendekezo ya Mhariri