Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»Timu Zilizofuzu Hatua ya Nusu Fainali Carabao Cup 2024/2025
    Michezo

    Timu Zilizofuzu Hatua ya Nusu Fainali Carabao Cup 2024/2025

    Kisiwa24By Kisiwa24December 20, 2024No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Timu Zilizofuzu Hatua ya Nusu Fainali Carabao Cup 2024/2025

    Baada ya robo fainali ya carabao cup kuweza kufanyika na timu nne kuweza kufuzu kuingia nusu fainali basi hapa tutaenda kukupa mwongozo wa timu zipi zilizopita kuingia nusu fainali ya Carabao Cup.

    Je wewe ni shabiki wa mpira wa miguu na unafuatilia kombe la Carabao Cup, basi huna budi kujua ni timu zipi zilizoingia kwenye hatua ya Nusu fainali baada ya mtanange wa robo fainali kuweza kukamilika.

    Hatua ya Robo fainali Carabao Cup 2024/2025

    Hatua hii ilizikutanisha timu 8 ambazo ni;

    1. Arsenal
    2. Crystal Palace
    3. Newcastle
    4. Brentford
    5. Southampton
    6. Liverpool
    7. Tottenham
    8. Man United

    Klabu ya Ma United imejikuta ikitupwa nje yaa michuano ya kombe la Carabao Cup baada ya kufungwa goli 4-3 na Tottenham katika mchezo wa robo fainali.

    Timu Zilizofuzu Hatua ya Nusu Fainali Carabao Cup 2024/2025

    Nusu fainali ya Carabao Cup 2024/2025

    Timu nne zimeweza kufuzu kwenye hatua ya nusu fainali ya kombe la Carabao Cup ambazo ni;

    1. Arsenal
    2. Newcastle
    3. Tottenham
    4. Liverpool

    Ratiba ya Nusu Fainali Kombe la Carabao Cup 2024/2025

    Tayari draw ya nusu fainali imesha chezeshwa na ratiba imesha pangwa kwa timu zilizofuzu kuingia nusu fainali. Mechi za nusu fainali zitachezwa kati ya tarheĀ  6 January na tarehe 3 February huku fainali ya Carabao Cup inatarajijiwa kufanyka siku ya tarehe 16 March.

    Baada ya draw kuchezeshwa timu zilizofuzu nusufainali tayari zimesha pangiwa micheo yao kama ifuatavyo

    1. Arsenal vs Newcastle
    2. Tottenham vs Liverpool

    Washindi watakao patikana wataingia kwenye fainali ya kombe la Carabao inayotarajiwa kuchezwa 16 March kwenye uwanja wa Wembley.

    Mapendekezo ya Mhariri;

    1. Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025

    2. Orodha ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025

    3. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025

    4. Msimamo Wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Tanzania Bara

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleOrodha ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025
    Next Article Jinsi ya Kujisajili na Kutumia AzamTV MAX App
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026
    Michezo

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026
    Michezo

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,331 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025586 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,331 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025586 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Our Picks

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.