MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Mechi ya Yanga vs Mshujaa leo 19/12/2024 Itakua Saa Ngapi?, hili ni swali ambalo ,mashabiki wemgi wa klabu ya Yanga, Mashujaa na wafuatiliaji wa ligi ya NBC Tanzania bara wanatamani kujua mchezo kati ya Yanga vs Mashujaa leo 19 December 2024 utafanyika muda gani na itakua sehemu gani.
Kama wewe ni miongoni wanaotamani kujua hilo basi hapa tutakupa mwomgozo kamili
MUDA WA MCHEZO: Saa 10:00 jioni
UWANJA: KMC Complex Dar es Salaam
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA