Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»Nafasi ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
    Michezo

    Nafasi ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025

    Kisiwa24By Kisiwa24December 1, 2024No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Nafasi ya Simba Sc Kwenye Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025, Msimamo wa Simba SC ligi kuu ya NBC 2024/2025, Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwenendo wa klabu yako pendwa ya wekundu wa msimbazi Simba SC Kwenye ligi kuu ya NBC kwa msimu huu mpya wa 2024/2025.

    JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

    Klabu ya Simba inayofahamika kama wekundu wa msimbazi ni moja miongoni mwa klabu bora zaid nchini Tanzania ukiacha zile za Yanga na Azam, Simba SC ni miongoni mwa klabu zinazishiriki ligi kuu ya NBC kwa msimu huu mpya wa 2024/2025. Na ikiwa wewe ni moja ya maelfu ya mashabiki wa mpira wa miguu na klabu ya Simba basi huna budi kufuatilia mwenendo wa klabu yako kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC.

    Hapa sisi kama chombo cha kukuhabarisha tupo tayari kukuletea taarifa zote za muhimu kuhusu msimamo wa Simba SC kwenye ligi kuu ya NBC,

    Nafasi ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
    Nafasi ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025

    Nafasi ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025

    Msimu mpya wa ligi kuu ya NBC tayari umesha anza kupamba moto huku klabu ya Simba ikizidi kujiimalisha kwa kuendelea kukusanya pointi na kujiweka kileleni mbele ya maasimu wao wakuu Yanga SC na Azam FC

    • Hadi sasa klabu ya Simba imecheza michezo 11, imeshinda michezo 9, imedroo mchezo 1 na kufungwa mchezo 1
    • Iko katika nafasi ya kwanza kwa jumla ya point 28

    Simba iko mbele kwa pointi 1 kwa klabu ya Yanga iliyoko nafasi ya 2 kwa pointi 27 sawa na Azam FC iliyoko katika nafasi 3 ikiwa imecheza michezo 12.

    Matokeo Ya Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

    1. November 22, 2024
    Pamba Jiji 0 – 1 Simba SC

    2. November 6, 2024
    Simba SC 4 – 0 KMC FC

    3. November 1, 2024
    Mashujaa FC 0 – 1 Simba SC

    4. October 25, 2024
    Simba SC 3 – 0 Namungo FC

    5. October 22, 2024
    Tanzania Prisons 0 – 1 Simba SC

    6. October 19, 2024
    Simba SC 0 – 1 Young Africans

    7. October 4, 2024
    Simba SC 2 – 2 Coastal Union

    8. September 29, 2024
    Dodoma Jiji 0 – 1 Simba SC

    9. September 26, 2024
    Azam FC 0 – 2 Simba SC

    10. August 25, 2024
    Simba SC 4 – 0 Fountain Gate

    11. August 18, 2024
    Simba SC 3 – 0 Tabora United

    Michuano Mingine Inayoshiriki Klabu ya Simba 2024/2025

    Simba nje ya kushiriki katika ligi kuu ya NBC lakini pia inashiriki michuano ya kombe la shirikisho Barani Afrika. Katika hatua hii ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confideretion Cup) Simba imepangwa katika kundi  ikiwa na timu kama vile CS Sfaxien (Tunisia),CS Constantine (Algeria) na FC Bravos do Maquis (Angola)

    – Hadi sasa Simba imecheza mchezo mmoja wa hatua ya makundi kiwa nyumbani kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa na kuibuka na ushindi wa magoli 1 kwa bila dhidi ya FC Bravos do Maquis

    – Simba katika msimamo wa kundi A inashika nafasi ya 2 ikiwa na jumla ya pointi 3

    Matokea ya Mechi za Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025

    • 27/11/2024Simba SC 1 – 0 FC Bravos do Maquis

    Mapendekezo ya Mhariri;

    1. Nafasi ya Yanga Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025

    2. Jezi Mpya Za Simba SC Kimataifa Msimu Wa 2024/2025

    3. Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSimba Sc Vs Fc Bravos Do Maquis 27 Nov 2024
    Next Article Nafasi Za Kazi Bodi Ya Taifa Ya Wahasibu Na Wakaguzi Wa Hesabu (Nbaa) December 2024
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Chagua mechi za Raundi ya 3 za AFCON zenye kusisimua zaidi na 1xBet!

    December 30, 2025
    Michezo

    MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

    December 7, 2025
    Michezo

    Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

    December 7, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202536 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202536 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.