Tanzania Vs Guinea Leo 19 Novemba 2024, Ikiwa michuano ya kufudhu kwenda AFCON 2025 inaendelea leo timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inaenda kucheza na timu ya Guinea ikiwa ndio mchezo wa mwisho ili kufudhu kwenda AFCON.
Mchezo wa kwanza uliofnyika 10/09/2024 Tanzania ikiwa ugenini iliibuka na ushindi wa goli 2 kwa 1. Hivyo leo Tanzania anakutana na Guinea akiwa na historia ya kumfunga katika mchezo wa kwanza.
Msimamo wa Kudi H
- Dr Congo – Pointi 12, Katika michezo 5 ameshinda 4 amepoteza 1
- Guinea – Pointi 9 katika michezo 5 ameshinda 3 amepoteza 2
- Tanzania – Pointi 7 katika michezo 5 ameshinda 2, amedroo 1 na amepoteza michezo 2.
- Rthiopia – Pointi 1 katika michezo 5 amedroo mchezo 1 na kupoteza michezo 4
Huu ni mchezo wa 6 na wamwisho Tanzania anahitaji pointi 3 muhimu ili kuweza kufudhu kwa kushiriki kwenye michuano ya AFCON 2025.
Uchambuzi wa Mchezo
- Mchezo utakua mgumu sana na wakuvutia kwani kila timu inahitaji pointi 3 muhimu ili kujihakikishia ushindi wa kufudhu AFCON 2025.
- Kama Tifa Stars itashinda mchezo huu itakua na pointi 10 na kupanda hadi nafasi ya 2 kwa kuizidi guinea kwa pointi moja
- Kama Guinea itashinda mchezo huu itakua na jumla ya pointi 12 na kua katika nafasi ya 2 ikiizidi Tanzania kwa pointi 4
Tanzania inahitaji kuutumia huu mchezo kama sehemu ya kuonyesha ubora wake na kutumia nafasi ya uwanja wa nyumbani kama chachu ya kushinda mchezo huu.
Kikosi Cha Taifa Stars Vs Guinea Leo 19 Novemba 2024
Hapa chini ni majina ya wachezaji wachezaji walioitwa kuunda kikosi cha Taifa Stars katika michuano hii ya kufudhu AFCON. Kutoka katika majina haya ndio kikosi cha Taifa Stars kitaundwa dhidi ya Guinea leo.
- Ally Salim – Simba SC
- Abdultwalib Mshery – Young Africans
- Yona Amos – Pamba SC
- Lusajo Mwaikenda – Azam FC
- Nathaniel Chilambo – Azam FC
- Mohamed Hussein – Simba SC
- Dickson Job – Young Africans
- Pascal Msindo – Azam FC
- Ibrahim Hamad – Young Africans
- Bakari Nondo – Young Africans
- Nickson Kibabage – Young Africans
- Abdulmalik Zakaria – Mashujaa FC
- Adolf Mtasigwa – Azam FC
- Himid Mao – Tala’a El Geish, Misri
- Novatus Dismas – Goztepe, Uturuki
- Mudathir Yahya – Young Africans
- Hussein Semfuko – Coastal Union
- Edwin Balua – Simba SC
- Feisal Salim – Azam FC
- Wazir Junior – Dodoma Jiji
- Cyprian Kachwele – Vancouver Whitecaps, Canada
- Clement Mzize – Young Africans
- Abel Josiah – TDS TFF Academy
Munda wa Kuanza Kwa Mechi
Mchezo huu utapigwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia majira ya saa 16:00 jioni
Matokeo ya Tanzania vs Guinea Kufudhu AFCON Leo 19 Novemba 1014
mchezo unatarajiwa kuanza majira ya 16:00 za jioni, hivyo basi mara baada ya mchezo kuanza na kumalizika tutakuwekea hapa matokeo ya mchezo huo
Tanzania 1 – 0 Guinea
Rmbu tupe maoni yako kuelekea mchezo huu wa kukata na shoka. Unaiona wapi Tanzania kwenye mchezo huu?