Jinsi ya Kujisajiri na Kutumia Kampuni ya Betpawa, Habari mwanamichezo wa Hbarika24, hapa tutaenda kujadili juu ya bkampuni ya kubashiri ijulikanayo kama Betpawa.Kma wewe ni mpenzi wa kubashiri kwa njia ya mtandao basi hapa utafurahia kuijua kampuni hii ya kubasdhiri mtandaoni ya Betpawa.
Katika makal hii tutaenda kuangalia jinsi ya kujisajili na kutumia huduma za kampuni ya kubashiri ya BetpawaTz, jinsi ya kuweka pesa na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu.
Jinsi ya Kujisajiri na Kutumia Kampuni ya Betpawa
Kuhusu Betpawa
Betpawa ni kampuni ya michezo ya bahati nasibu inayopatikana Tanzania, inayotoa fursa ya kuweka dau kwenye michezo mbalimbali, hususan mpira wa miguu. Pia inatoa michezo ya kasino mtandaoni na bahati nasibu nyinginezo.
Jinsi ya Kujisajili Betpawa
Ili kuweza kujisajiri katika kampuni ya Brtpawa tafadhari fuata hatua hapo chini

1. Tembelea Tovuti (www.betpawa.co.tz)
Anza kwa kutembelea tovuti rasmi ya Betpawa.
2. Bonyeza ‘Jisajili
Utaona kitufe cha ‘Jisajili’ au ‘Sign Up’ kwenye ukurasa wa kwanza. Bonyeza hapo.
3. Jaza Fomu
Jaza taarifa zako binafsi kwenye fomu inayojitokeza. Hii itajumuisha:
– Jina lako kamili
– Tarehe ya kuzaliwa
– Namba ya simu
– Barua pepe
– Neno la siri (hakikisha ni salama na gumu kubahatisha)
4. Thibitisha Akaunti
Baada ya kujaza fomu, utapokea ujumbe mfupi kwenye simu yako na namba ya kuthibitisha. Ingiza namba hiyo kwenye tovuti.
5. Kukubali Masharti
Soma na ukubali masharti na vigezo vya matumizi.
6. Kamilisha Usajili
Bonyeza ‘Jisajili’ au ‘Complete Registration’ kukamilisha mchakato.
Jinsi ya Kutumia Akaunti Yako
Jinsi ya Kuweka Pesa Brtpawa
– Ingia kwenye akaunti yako
– Bonyeza ‘Weka Pesa’ au ‘Deposit’
– Chagua njia ya malipo unayopendelea (k.m. M-Pesa, Tigo Pesa)
– Fuata maelekezo kukamilisha shughuli ya kuweka pesa
Jinsi ya Kuweka Dau
– Chagua mchezo unaotaka kuweka dau
– Chagua timu au matokeo unayotarajia
– Ingiza kiasi cha pesa unataka kuweka dau
– Thibitisha chaguo lako
Jinsi ya Kuangalia Matokeo Brtpawa
– Baada ya mchezo kuisha, ingia kwenye akaunti yako
– Bonyeza ‘Historia’ au ‘Bet History’ kuona matokeo
Jinsi ya Kutoa Pesa Betpawa
– Bonyeza ‘Toa Pesa’ au ‘Withdraw’
– Chagua njia ya kutoa pesa
– Ingiza kiasi unachotaka kutoa
– Thibitisha ombi lako
Vidokezo vya Usalama
1. Neno la Siri
Tumia neno la siri imara na usilitoe kwa mtu yeyote.
2. Uhakiki wa Hatua Mbili
Washa uhakiki wa hatua mbili kwa usalama zaidi.
3. Matumizi ya Kiasi
Weka kikomo cha matumizi yako na usicheze zaidi ya uwezo wako.
4. Taarifa Binafsi
Usitoe taarifa zako binafsi kwa mtu yeyote anayedai kuwa mfanyakazi wa BetpawaTz.
betPawa Huduma Kwa Wateja
Kama umepwatwa na shida yoyote ile katika usajiri wa akaunti yako kwenye tovuti ya Betpawa au katika kutumia huduma zao basi usiwe na wasiwasi unaweza kuwasiliana na dawati lao la huduma kwa wateja kwa mawasiliano hayo hapo chini (Huduma zao zinapatikana masaa 24)
Mawa siliano ya Simu
- 0768 141904
- 0622 004681
Barua pepe
Whatsapp Namba
- +255677062998
Hitimisho
Kujisajili na kutumia Betpawa ni rahisi na salama ikiwa utafuata hatua tulizoeleza. Kumbuka, michezo ya bahati nasibu inapaswa kuwa burudani, kwa hivyo cheza kwa busara na uwajibikaji. Ikiwa una maswali yoyote au unahitaji msaada, unaweza kuwasiliana na kitengo cha huduma kwa wateja cha BetpawaTz wakati wowote.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Mwongozo wa Jinsi ya Kusajiri Channel ya Youtube TCRA
2. Mikopo Ya Haraka Bila Dhamana Tanzania
3. RITA – Utaratibu Wa Kupata Cheti Cha Kuzaliwa Kilichopotea
4. Jinsi ya Kupika Keki kwenye Rice Cooker
5. Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi